Maana ya k katika viwango vya fedha

Maana ya k katika viwango vya fedha

Hiyo kwenye pesa sio official... ndo maana huwezi kukuta bank zinaandika hivyo....
Hiyo ni ubunifu tu wa watu katika kutaka kufupisha hizo tarakimu...

100k kiusahihi kwa lugha ya fedha inaweza andikwa 0.1M..m ikisimama badala ya million
m milion sawa, B badala ya Bilion, je K kirefu chake nn.?
 
hapo mnazungumzia prefix za kihesabu
wengi mnajua hii
KiHeDeMedeSeMi
au kofia huuzwa dukani mwa daudi senti moja
nikukumbushe ndugu yangu
Ki ni kilo au ×10³ au ×1000
He ni hecto au ×10² au ×100
De ni deca au ×10¹ au ×10
me ni meter ×1
de ni deci au ×10-¹ au ÷10
Se ni senti au ×10-2 au ÷100
Mi ni milli au ×10-³ au ÷1000
zipo nyingi sana hizi prefix na hii ni lugha ya kigiriki, zingine ni kama
G au giga ×1,000,000,000
ukiona simu yako ina GB 1 ujue ina byte 1,000,000,000
M au mega ×1000,000
ukiona umepata MB 500 za data ujue ni sawa na byte 500,000,000
nyingine ni T(tera) =1000,000,000,000
 
Back
Top Bottom