GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 543
Wadau habarini za weekend.........
Kuna issue hapa inanidatiza, sijui inamaana gan na mwanzilishi wake ni nan?
Mfano, watu wamekuwa wakitumia herufi "k" kuashiria kiwango cha fedha......
Mfano; mtu unaweza kumuuliza posho unalipwa shilingi ngap? Anakwambia ama anakuandikia 100k akimanisha laki moja.
Je, k husimama kama nini?
Kirefu chake ni kipi?
Na kina maana gan kwenye viwango vya fedha?
Asanteni.