Kuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.Nilikuwa sifahamu, baada ya ku-google nikaikuta ya Kijerumani Bayerische Motoren Werke.
Hahahahaha dahKuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.
Cc: Nyani Ngabu Kiranga
Enzi Internet hakuna bongo
Hahaha, Matola umenikumbusha mbali sana Enzi za Salamander kwa mnyamwezi wangu Carl Lewis.Kuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.
Cc: Nyani Ngabu Kiranga
Enzi Internet hakuna bongo
Hahaha, Matola umenikumbusha mbali sana Enzi za Salamander kwa mnyamwezi wangu Carl Lewis.
Hapo watoto wa mjini washaenda kuchukua safari sana za unyamwezini, batani mpaka down under.
Watu wameondoka kiskauti, ki summer fest, ki I-20, mpaka wengine wamecukua green card.
Kabla hawa kina Mgufuli Magufuli hawajaja na mbio za Mwenge kutujazia mji wetu wambwela wambwela.
Sasa hivi mwanako nikirudi vijiwe vyangu hivyo vya Salamander mimi eti ndo naonekana mgeni!
Hahaha,Babu TOEFL uliifanyia wapi? Agha Khan Mzizima?
Mkuu Salamander Corner haipo tena, wajanja wengi wa Salamander karibu wote wapo unyamwezini, na hata Forodhani Secondary ya watoto wa kishuwa haipo tena, hata yule mchizi wa kitambo jina lake linaishia na Matola yuko Unyamwezini pia.Hahaha, Matola umenikumbusha mbali sana Enzi za Salamander kwa mnyamwezi wangu Carl Lewis.
Hapo watoto wa mjini washaenda kuchukua safari sana za unyamwezini, batani mpaka down under.
Watu wameondoka kiskauti, ki summer fest, ki I-20, mpaka wengine wamecukua green card.
Kabla hawa kina Mgufuli Magufuli hawajaja na mbio za Mwenge kutujazia mji wetu wambwela wambwela.
Sasa hivi mwanako nikirudi vijiwe vyangu hivyo vya Salamander mimi eti ndo naonekana mgeni!
Hahaahaaaa aliwapata kweliKuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.
Cc: Nyani Ngabu Kiranga
Enzi Internet hakuna bongo
Babu TOEFL uliifanyia wapi? Agha Khan Mzizima?
Hii ndio maana halisi... hizo nyingine zimetoholewa tuu...Nilikuwa sifahamu, baada ya ku-google nikaikuta ya Kijerumani Bayerische Motoren Werke.