pap/chap - ni mfumo unao beba shuguli kumbwa la utambulisho wa ndani ya protocal kikazi kwa shuguli mbali mbali kimaitaji utambulishi wa mawasiliano na viunga vyake.wadau naomba kufahamu hii setting inasaidia nini kwenye simu hasa upande wa internet(pap/chap na ipv4/ipv6).