Maana ya Adam's apple

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Wanajf naombeni mwenyekujua sifa za mwanaume mwenye adam's apple(kile kidudu kinachotoka kwa nje kwenye koo)
 
Adam's apple na nywele za sikioni ni sifa pekee za kiume. Zilizobaki nyingi kama kuwa na ndevu, sauti ya base n.k tunashare na wanawake siku hizi.
 
Mbona wapo wanawake wenye hilo apple lenu?
 
Wanajf naombeni mwenyekujua sifa za mwanaume mwenye adam's apple(kile kidudu kinachotoka kwa nje kwenye koo)

Mwanaume yeyote ambae hana hicho hawezi kuficha siri, kile kidude kinaonyesha uhalisia wa mwanaume na anavyopaswa kua. Mimi mwenyewe niliskia kwa wazee. Kwa hiyo mtu mwenye kile kidude hata ukimuomba ushauri atakusaidia, pia ukimshirikisha jambo huezi sikia limevuja kwa sababu ni sifa ya pekee si kila mwanaume anacho.
 
mimi ninacho mpenz wangu kakiona akaniambia hayo uliyosema nikambishia coz mimi ni msiri sana, nikajua amekiona ndio anajishaua, kuondoa utata nikakirusha jf, nakupa tano!
 
Athante mwaya, ila ukweli ndo huo Dr wa ukweli.
 
Inawezekana kabisa hapa ni wewe na huyo mpenzi wako mnajibishana lakini kwa kuwa wote mnatumia majina msiyofahamiana.
 
Back
Top Bottom