Maana halisi ya Kujamiiana

Maana halisi ya Kujamiiana

BoQ

Member
Joined
May 31, 2011
Posts
34
Reaction score
0
Jamani mimi sina muda mrefu humu JF lakini tangu nimejiunga nimeona manufaa yake...kuna mambo mengi nlikuwa siyajui na sasa JF imenisaidia sana. Ama kweli JF inaleta maana kamili ya kujamiiana (Socialize).

Nawasilisha.
 
Samahani.

Unamaanisha maana ya neno kujamiana (socialize) au the reason Behind socialization?

Au unataka kusema kujamiiana sio kungonoka!
 
Dada Vivian-hivi kungonoka ni kiswahili cha kawaida?nikiwa na maana baba na mama wanaweza kusema tume ngonoka miaka mingi lakini hatupati mtoto? Au ni cha mtaani?

Samahani.

Unamaanisha maana ya neno kujamiana (socialize) au the reason Behind socialization?

Au unataka kusema kujamiiana sio kungonoka!
 
Back
Top Bottom