Maamuzi ya Spika sio Obstruction of justice?

hapana....kuna ugumu gani kutoa taarifa ofisi ya spika iko wazi...hakuna mlolongo...watoe tu taarifa ajue anapanga vipi kazi zake...
Kwaninkuna ulazima ganinwa kutoa taarifa kwa spika wakati mtuhumiwa anajulikana alipo?
 
Sina uhakika kama Ndugai alisema Wabunge hawawezi kushtakiwa, bali alitoa mwongozo wake kuhusu utaratibu unaopaswa kufuatwa pale wabunge wanapoitwa kutoa maelezo ktk vituo vya polisi au mahakamani. Hasa jambo hilo linapotendeka wabunge wanapokuwa Bungeni au ktk shughuli za Bunge.
 
Kwani sheria inasema je unapo kwenda kwenye mtaa au kitongoji kutaka kumkamata mwalifu ? Na kwa nn umlalamikie spika kwa kauli yake badala ya kuilalamikia katiba inayo wapa utukufu watu wengine kutoshtakiwa hata kwa unyama watao ufanya na sheria zinalazimisha wengine wawajibike? Kuwa fare bass
 
Huko mitaani wanakamata tu mkuu! Ila kukagua anaweza akawepo mjumbe/ mwenyekiti wa mtaa au hata jirani!
 
Sina uhakika kama Ndugai alisema Wabunge hawawezi kushtakiwa, bali alitoa mwongozo wake kuhusu utaratibu unaopaswa kufuatwa pale wabunge wanapoitwa kutoa maelezo ktk vituo vya polisi au mahakamani. Hasa jambo hilo linapotendeka wabunge wanapokuwa Bungeni au ktk shughuli za Bunge.
Kwa mtazamo wangu hiyo requirement inakinzana na katiba!
 
Sina uhakika kama Ndugai alisema Wabunge hawawezi kushtakiwa, bali alitoa mwongozo wake kuhusu utaratibu unaopaswa kufuatwa pale wabunge wanapoitwa kutoa maelezo ktk vituo vya polisi au mahakamani. Hasa jambo hilo linapotendeka wabunge wanapokuwa Bungeni au ktk shughuli za Bunge.

Utaratibu ni kwamba mbunge yoyote yule ambae anatajwa katika orodha ya wanaohusishwa na madawa ya kulevya , ni kusimamishwa kuhudhuria bunge hadi hapo itakapothibitishwa kwamba madai si ya kweli.

Hii inatakiwa iwe ni kwa masuala yote iwe mbunge amehusishwa na uhalifu mwingine wowote ule.

Polisi watachunguza na kumhoji mhusika na kama anahojiwa chini ya onyo la kushtakiwa basi huko mbele itabidi ajiuzulu, lakini kama hatahojiwa chini ya onyo basi atapata wakati mgumu wa kusafisha jina lake.

Kwa njia hii Bunge linabakia na heshima yake na wale wabunge wenye kasoro, wote wanakuwa wanapukutika.
 
watu walifanya makosa makubwa sana 2015, imetugarimu sana. watz huwa hatujifunzi kutokana na makosa. tatizo la makondakta akili yake na ya baba yake ni sawa, wote akili zao ziko vilevile hata wangekuwa wasomi namna gani. wanafaa kuwa wachunga ng'ombe. ndo maana hawajui kimombo.
Japo usingeweka sentenso ya mwisho eti ' ndo maana hawajui kimombo', tungeamini labda kuna hoja nyuma maoni yako. Sentenso ya mwisho imeonyesha kiwango cha uelewa wako.
Hongera yako
 
Hakusema kuwa yeye atatoa ruhusu bali apewe taarifa si kumvizia mtu nje ya bunge na kumkamata lazima bunge liheshimike
 
Hakuna obstruction of justice hapo. Police wafuate utaratibu tu. Tukiachia holela tu itatuletea shida.
 
Hivi majuzi Mh. Spika alihitimisha mjadala wa muendelezo wa debate sehemu mbali mbali kuhusiana na vitwndo vya Polisi kuwakamata wabunge, kwa kutoa kauli kwamba, of is a yoyote anayemhitaji mbunge lazima amwambie!

Ingawa kwa macho ya wabunge wengi ni kauli sahihi, lakini Spika na wabunge wanasahau kwamba wabunge hawapo katika makundi ya watu wenye immunity ya kushtakiwa kutokana na makosa wanayoyafanya wakiwa wabunge kama kosa hilo halijafanyika ndani ya Bunge, ingawa Kuna utaratibu wa kumwajibisha mbunge kwa kosa atalolifanya akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge!

Kwakua basi wabunge wanastatus sawa kabisa na raia wengine wanapokua nje ya ukumbi wa Bunge sio vyema kuanza kutengeneza matabaka ya watu katika nchi hii tunayoishi wote.

Haiingii akilini kwanini mtu afanye kosa halafu itoke ruhusa ya Kumkamata au kutomkamata! Huko ni kupotoka na kuelewa madaraka tu tuliyowapa sisi kwa kura zetu wenyewe.

Katiba ya nchi haimuweki Mbunge juu ya sheria za nchi, wala haimpi mamlaka Spika ya kuzuia vyombo vya dola kufanya kazi yake pale inapotakiwa kufanya hivyo!

Ningependa kujua, agizo hilo la spika limetokana na sheria ipi na litakua na vigezo gani kwa spika kutoa ruhusa ya Mbunge kukamatwa!

Je, spika haoni kwamba ruhusa yake itakua imeprejudice court process!

Mfano akaletewa hati ya kukamatwa kwa mbunge! Akasema hapana asikamatwe! Haoni kwamba atakua amechukua jukumu la polisi na mahakama at the same time? Na je kwa katazo hilo haoni kwamba atakua amezuia haki ya upande mwingine kupatikana?

Sidhani kama wabunge wamechukulia kwa uzito kauli zao na kuzipima na namna katiba inavyotaka au namna jamii inavyolichukulia swala zima la usawa mbele ya sheria?

Kwa uchache ni kuwa Bunge limeonesha ubinafsi wa hali ya juu, na kuzidi kutengeneza matabaka baada ya kuendelea kuwa kada inayopokea masarufu mengi na mazuri kuliko wengine.

Unakumbuka issue ya ditopile?......kabla ya kukamatwa waziri mkuu alijulishwa kabla...so ditopile hakuwa na immunity lkn pm alijulishwa kwanza.....ndugai yupo sahihi...kama mkuu wa muhimili wa bunge.Lakini hata judge akitaka kukamatwa ni lazima jm afahamishwe kwanza.
 
Hivi majuzi Mh. Spika alihitimisha mjadala wa muendelezo wa debate sehemu mbali mbali kuhusiana na vitwndo vya Polisi kuwakamata wabunge, kwa kutoa kauli kwamba, of is a yoyote anayemhitaji mbunge lazima amwambie!

Ingawa kwa macho ya wabunge wengi ni kauli sahihi, lakini Spika na wabunge wanasahau kwamba wabunge hawapo katika makundi ya watu wenye immunity ya kushtakiwa kutokana na makosa wanayoyafanya wakiwa wabunge kama kosa hilo halijafanyika ndani ya Bunge, ingawa Kuna utaratibu wa kumwajibisha mbunge kwa kosa atalolifanya akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge!

Kwakua basi wabunge wanastatus sawa kabisa na raia wengine wanapokua nje ya ukumbi wa Bunge sio vyema kuanza kutengeneza matabaka ya watu katika nchi hii tunayoishi wote.

Haiingii akilini kwanini mtu afanye kosa halafu itoke ruhusa ya Kumkamata au kutomkamata! Huko ni kupotoka na kuelewa madaraka tu tuliyowapa sisi kwa kura zetu wenyewe.

Katiba ya nchi haimuweki Mbunge juu ya sheria za nchi, wala haimpi mamlaka Spika ya kuzuia vyombo vya dola kufanya kazi yake pale inapotakiwa kufanya hivyo!

Ningependa kujua, agizo hilo la spika limetokana na sheria ipi na litakua na vigezo gani kwa spika kutoa ruhusa ya Mbunge kukamatwa!

Je, spika haoni kwamba ruhusa yake itakua imeprejudice court process!

Mfano akaletewa hati ya kukamatwa kwa mbunge! Akasema hapana asikamatwe! Haoni kwamba atakua amechukua jukumu la polisi na mahakama at the same time? Na je kwa katazo hilo haoni kwamba atakua amezuia haki ya upande mwingine kupatikana?

Sidhani kama wabunge wamechukulia kwa uzito kauli zao na kuzipima na namna katiba inavyotaka au namna jamii inavyolichukulia swala zima la usawa mbele ya sheria?

Kwa uchache ni kuwa Bunge limeonesha ubinafsi wa hali ya juu, na kuzidi kutengeneza matabaka baada ya kuendelea kuwa kada inayopokea masarufu mengi na mazuri kuliko wengine.
Ni vema wakamataji wakawasiliana na Spika kabla ya kumkamata Mbunge hasa kama Mbunge mwenyewe yuko kwenye shughuli za Bunge wakati huo. Sioni kama kuna tatizo hapo.
 
Zitto amemtia ujinga Ndugai.ile kumbeba ysiku na gari yake ili asikamatwe ndipo yote haya yalipikwa.Angekuwa Tulia tusingesikia mambo haya.Kwa kweli bunge la kipindi hiki ni confusion tupuUpinzani ume overide chama tawala.Lakini katika hali halisi maamuzi ya Ndugai ,Chenge,na wote waliokuwa na mitizamo kama yao hawatafanikiwa.
 
Hivi majuzi Mh. Spika alihitimisha mjadala wa muendelezo wa debate sehemu mbali mbali kuhusiana na vitwndo vya Polisi kuwakamata wabunge, kwa kutoa kauli kwamba, of is a yoyote anayemhitaji mbunge lazima amwambie!

Ingawa kwa macho ya wabunge wengi ni kauli sahihi, lakini Spika na wabunge wanasahau kwamba wabunge hawapo katika makundi ya watu wenye immunity ya kushtakiwa kutokana na makosa wanayoyafanya wakiwa wabunge kama kosa hilo halijafanyika ndani ya Bunge, ingawa Kuna utaratibu wa kumwajibisha mbunge kwa kosa atalolifanya akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge!

Kwakua basi wabunge wanastatus sawa kabisa na raia wengine wanapokua nje ya ukumbi wa Bunge sio vyema kuanza kutengeneza matabaka ya watu katika nchi hii tunayoishi wote.

Haiingii akilini kwanini mtu afanye kosa halafu itoke ruhusa ya Kumkamata au kutomkamata! Huko ni kupotoka na kuelewa madaraka tu tuliyowapa sisi kwa kura zetu wenyewe.

Katiba ya nchi haimuweki Mbunge juu ya sheria za nchi, wala haimpi mamlaka Spika ya kuzuia vyombo vya dola kufanya kazi yake pale inapotakiwa kufanya hivyo!

Ningependa kujua, agizo hilo la spika limetokana na sheria ipi na litakua na vigezo gani kwa spika kutoa ruhusa ya Mbunge kukamatwa!

Je, spika haoni kwamba ruhusa yake itakua imeprejudice court process!

Mfano akaletewa hati ya kukamatwa kwa mbunge! Akasema hapana asikamatwe! Haoni kwamba atakua amechukua jukumu la polisi na mahakama at the same time? Na je kwa katazo hilo haoni kwamba atakua amezuia haki ya upande mwingine kupatikana?

Sidhani kama wabunge wamechukulia kwa uzito kauli zao na kuzipima na namna katiba inavyotaka au namna jamii inavyolichukulia swala zima la usawa mbele ya sheria?

Kwa uchache ni kuwa Bunge limeonesha ubinafsi wa hali ya juu, na kuzidi kutengeneza matabaka baada ya kuendelea kuwa kada inayopokea masarufu mengi na mazuri kuliko wengine.
Polisi wakiachiwa hali iwe kama hivi wataitumia kisiasa (na wamekuwa wakiitumia). Watasubiri siku mbunge x wa upinzani ana hoja ya muhimu bungeni, hoja ya kitaifa kama ile iliyowahi letwa na Mkosamali ya Escrow au yoyote inayofanana na hiyo muda mchache kabla ya kuiwasilisha watamkamata kwa kisingizio chochote na kumseka ndani. Muda ukipita watamwachia kama ambavyo wamefanya mara nyingi kwa wabunge wa upinzani.
Wabunge SIO genge la uhalifu mna wasiwasi gani mpaka polisi wawe wanawakamata watakavyo?
 
Ni vema wakamataji wakawasiliana na Spika kabla ya kumkamata Mbunge hasa kama Mbunge mwenyewe yuko kwenye shughuli za Bunge wakati huo. Sioni kama kuna tatizo hapo.
Nataka nijue anajulishwa ili afanye nini?
 
ndio kanuni na taratibu za mhimili wa bunge
Huko sasa ndiko kutengeneza matabaka na katiba hairuhusu sheria za namna hiyo!

Wabunge wanajipendelea kwa kujitengenezea nafuu wao kuliko wengine!
 
Polisi wakiachiwa hali iwe kama hivi wataitumia kisiasa (na wamekuwa wakiitumia). Watasubiri siku mbunge x wa upinzani ana hoja ya muhimu bungeni, hoja ya kitaifa kama ile iliyowahi letwa na Mkosamali ya Escrow au yoyote inayofanana na hiyo muda mchache kabla ya kuiwasilisha watamkamata kwa kisingizio chochote na kumseka ndani. Muda ukipita watamwachia kama ambavyo wamefanya mara nyingi kwa wabunge wa upinzani.
Wabunge SIO genge la uhalifu mna wasiwasi gani mpaka polisi wawe wanawakamata watakavyo?
Kama mbunge kafanya kosa sidhani kama ni sahihi kumwacha simply because kapeleka hoja muhimu bungeni?
 
Nataka nijue anajulishwa ili afanye nini?
Bunge hukutana kwa kuitishwa na Spika. Ni vema wakati wote wa vikao vya Bunge mhimili humo ukaachwa ufanye na umalize shughuli zake bila kuingiliwa au kukwamishwa na mhimili mwingine. Kama ni kukamata Mbunge basi akamatwe baada ya vikao. Juzi vikao vimekwisha, waendelee na ukamataji!
 
Back
Top Bottom