PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
Mambo ya nyaraka za siri yaliisha miaka ya 80s!...Nyaraka gani za siri?Zitto ameingia choo cha kike safari hii, nyaraka alizokuwa anazitaka ni siri, haiwezekani mtu km yeye kuzipata, asubiri rungu tu la Bunge !
Upumbafu wa kuza nchi kuwapitia mawaziri wenye malezi mabovu ndiyo nyaraka za siri?
Labda ulimaanisha nyaraka za sehemu za siri!