Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.
Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.
Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.
Stay tuned...
huo ndo msimamoo wao walio wengi ccm kwani ufisadii ni uahi wa chama.Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.
Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.
Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.
Stay tuned...
huyo mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga ni nani? Mbona anakuwa Mjinga hivyo, wakati watu waliopata maafa ya Ufisadi ni wa Mkoa wa Shinyanga, maana madini yamechukuliwa, wakati miundo mbinu ya mkoa ni duni, elimu duni, umeme kimeo etc
Hamis Mgeja kwa kabila ni Mnyiramba mwenye mchanganyiko na Uarabu. na amekulia sehemu moja inaitwa Didia- Shinyanga Vijijini, na hakumaliza Elimu ya Msingi, na alikuwa akijihusisha na kuuza karanga kwenye treni reli ya kati na wakati mwingine akifanya shughuli za uchomozi - pick pocket.
Alianza kuibuka baada ya kuhama Didia na kuhamia kijiji cha Kilago wilaya ya Kahama ambako baadaye alipata udiwani. Yeye hana udugu wa damu na Marehemu John Mgeja aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani na Mbunge wa Solwa. Alichukua jina hilo kwa ajili ya kupata umaarufu kisiasa baada ya kuwa mpiga debe wake.
Baada alikuwa mpambe wa Marehemu Mohame Bhiku aliyewahi kuwa MBunge w Kahama na Solwa na ndiyo aliyeamua kumnyanyua kisiasa na kumsimamia hadi kuwa diwani na wakati mwingine kushika wadhifa kama Mkiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga.
Baadaye akawa Mkiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kahama lakini kutokana na watu kumchoka wakaamua kumshawishi agombee ubunge katika uchaguzi wa 2005, wakijua kuwa atashindwa, akaanguka na Lembeli akapita, na hadi leo hapatani na lembeli.
Waliyomnyanyua na kufika kuwa mkiti wa CCM mkoa wa shinyanga ni pamoja na mtu mmoja anaitwa Phantom ama Hilal Soud ambaye aliiba fedha uarabuni ambako alikuwa mhasibu Jeshini na kukimbilia Shinyanga, huyu jamaa ni MNEC wa Shinyanga, amenyanyang'anya ardhi ya wananchi wa Maganzo kwa ajili ya mgodi wa almasi hadi leo hii hajawalipa fidia, na alipewa - eneo la diamond protected area ambalo lilikuwa likilindwa na sheria ambayo waziri wa Madini Yona aliifuta ili kumruhusu Phantom kuchukua eneo la mgodi.
Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.
Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.
Hamis Mgeja kwa kabila ni Mnyiramba mwenye mchanganyiko na Uarabu. na amekulia sehemu moja inaitwa Didia- Shinyanga Vijijini, na hakumaliza Elimu ya Msingi, na alikuwa akijihusisha na kuuza karanga kwenye treni reli ya kati na wakati mwingine akifanya shughuli za uchomozi - pick pocket.
Alianza kuibuka baada ya kuhama Didia na kuhamia kijiji cha Kilago wilaya ya Kahama ambako baadaye alipata udiwani. Yeye hana udugu wa damu na Marehemu John Mgeja aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani na Mbunge wa Solwa. Alichukua jina hilo kwa ajili ya kupata umaarufu kisiasa baada ya kuwa mpiga debe wake.
Baada alikuwa mpambe wa Marehemu Mohame Bhiku aliyewahi kuwa MBunge w Kahama na Solwa na ndiyo aliyeamua kumnyanyua kisiasa na kumsimamia hadi kuwa diwani na wakati mwingine kushika wadhifa kama Mkiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga.
Baadaye akawa Mkiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kahama lakini kutokana na watu kumchoka wakaamua kumshawishi agombee ubunge katika uchaguzi wa 2005, wakijua kuwa atashindwa, akaanguka na Lembeli akapita, na hadi leo hapatani na lembeli.
Waliyomnyanyua na kufika kuwa mkiti wa CCM mkoa wa shinyanga ni pamoja na mtu mmoja anaitwa Phantom ama Hilal Soud ambaye aliiba fedha uarabuni ambako alikuwa mhasibu Jeshini na kukimbilia Shinyanga, huyu jamaa ni MNEC wa Shinyanga, amenyanyang'anya ardhi ya wananchi wa Maganzo kwa ajili ya mgodi wa almasi hadi leo hii hajawalipa fidia, na alipewa - eneo la diamond protected area ambalo lilikuwa likilindwa na sheria ambayo waziri wa Madini Yona aliifuta ili kumruhusu Phantom kuchukua eneo la mgodi.
hapo sitta awe jasirii wa kuilinda nafsi na upeoo wakee zaidi ya tumboo lakee...tusubirii tuoneeeeWana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.
Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.
huyo mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga ni nani? Mbona anakuwa Mjinga hivyo, wakati watu waliopata maafa ya Ufisadi ni wa Mkoa wa Shinyanga, maana madini yamechukuliwa, wakati miundo mbinu ya mkoa ni duni, elimu duni, umeme kimeo etc
- Ni mvutano ambao bado unaendelea hadi sasa what to do na makundi, kundi la "mashujaa" likiongozwa na Six, linagoma kata kata any reconciliation bila ya ishu ya mafisadi kushugulikiwa kama ilivyo ndani ya CCM, so far mafisadi wanajaribu kutafuta a common ground, lakini uwezekano wa kuelewana according to huyu mjumbe ni zero!
I am feeling very sorry for Sitta but i hope he gets through even stronger
Mungu Baba yetu uliye Mbinguni. Angalia nchi hii hawa NEC ya CCM wanaiona ya kwao. Angalia baba wametumalizia kila kitu na hata hiki ulichotuoonyesha nacho wanataka kulamba.
Mungu baba napiga magoti ili uwape ufahamu ili NEC ya CCM wamfukuze Sam Sita ili maandikao ya mwana wako Mwanakijiji yaanze kuonekana na hatima nchi hii irudi kwa kizazi chako.
Mungu baba, kuanguka kwa CCM ndio pona yetu sisi vijana na kizazi kijacho na vivyavo.
Kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu. AMEN.
Tanzania Tanzania... Nakupenda kwa moyo wote......NIPO TAYARI KUFA KWSA AJILI YAKO....
Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.
Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.
Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.
Stay tuned...
FMES,
Kuna mdau mmoja amesema kilichoendelea hapo Dom ni kuwa Six kaachwa pekee yake ukiacha Mama Sitta wengine wote wamemkimbia, sasa hilo kundi la Mashujaa limekujaje hapo?
Na je, utetezi wa Six aliyeombwa kufanya hivyo na JK umeendeaje huko?