Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

Wadau mpo poa?nisiwachoshe ipo hivi,nimeishi mbali na demu kwa muda mrefu sn,nimemtoa mbali kimaisha hadi kufanikiwa kwake.

Leo ss nimefika anapoishi hakika nimegundua kitu.Ana mtu tena si mmoja,hili ni asilimia 100 halina ubishi na ushahidi nimeupata tayari.

Maamuzi:Namgonga mimba then atajijua mbele ya safari.Wamezoea hawa watoto,nitakuja wapa mrejesho.

NB,Sitaki ushauri nawapa taarifa tu.

safi sana mkuu. Kumbe tupo wachache wanaume wakweli. Hyo ndiyo dawa ya mianamke isiyojitambua piga mimba halafu sepa litajijua hukohuko
 
Stupid mentallity ...utazaaje..na mtu humpendi
 
Tatizo huyo mwanao tu hapo sijui unamweka kwenye mazingira gani?!!!!
 
kwa hiyo huyo mtoto atakuita jirani? Mbafu kabisa
 
Matusi tukaneni sn, najua kama ww ni mwanaume uchungu unaujua upo vip? na kama ww ni demu basi una tcia kama hizi.Ndo maana wanawa-UFOO SARO kila mara,me sina ujina wa et "kuchapiwa siri ya ndani" mnadanganyana vijana ninyi na mnahalalisha hawa mademu kuyafanya haya.

Magonjwa acha nipate ila kampeni yng itatimia tu,hataweza kutoa wala nn me ndo mkandarasi mwenyewe,kama unabisha wewe unayesema atatoa jitoe nikupe mimba then utoe uone! hi Dunia ww.

Ni bora hii kuliko kisu,bastora,upanga etc.

"The wright way of finding a peace of mind is a revenge" Castol. F
 
Nimejikuta nacheka tu ....!!!!!!!!!!!!
 
Wadau mpo poa?nisiwachoshe ipo hivi,nimeishi mbali na demu kwa muda mrefu sn,nimemtoa mbali kimaisha hadi kufanikiwa kwake.

Leo ss nimefika anapoishi hakika nimegundua kitu.Ana mtu tena si mmoja,hili ni asilimia 100 halina ubishi na ushahidi nimeupata tayari.

Maamuzi:Namgonga mimba then atajijua mbele ya safari.Wamezoea hawa watoto,nitakuja wapa mrejesho.

NB,Sitaki ushauri nawapa taarifa tu.

Gonga kwanza Hiyo Mimba ndio uje useme Hapa, vinginevyo unakuwa kama watu wanaosema nikiwa Raisi nitafanya abc wakati hata Uchaguzi hajashinda bado...
 
Unamkomoa mtoto asie na hatia...ujinga wenu wawili
 
Hata mimi sikupi ushauri bali nakuuliza swali baada ya kumdunga mtoto atakuwa ni wa nani je matunzo nani mtoaji au umeamua kama nae nagawa nawe unwagawia Ntoto?
 
Hasira....hasara....endelea na msimamo wako tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom