Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

Hayo ni mawazo ya mwanaume anayelelewa ambaye hajitambui nini maana ya kuitwa mwanaume na Kwa uelewa Wangu ndio maana huyo dada anakusaliti maana ameshakuona huna maana .... Umekumbuka shuka kumekucha kaka jirani
 
Usifanye hivyo mkuu,ni dhambi na poa atakulaani sana,
 
NB,Sitaki ushauri nawapa taarifa tu.

taarifa tumezipata ila na wewe ujue
...ukimgonga ujiandae kumtunza mtoto.
....ujiandae kwa hukumu ya Mungu maana utakuwa umezini.
.....ujiandae kwenda kupima UKIMWI maana hujui anaozini nao kama ni wazima
......haya kazi kwako.[/QUOTE]
Kweli bana, maana kumgonga mimba maana yake umekwenda pekupeku. Hatareeeeee hiyo!! Lakini nadhani akili yake haiko sawa. Tuendelee kumshauri japo hataki kushauriwa
 
mimba sii mpaka atake mwenyewe....
Na kweli, jamaa anaweza kujipinda kutwa kucha, kumbe mwanamke hana mpanho wa kujiachia, na mimba ya utapia mlo ukaipata wewe. Na ingekuwa hivyo pengine hao wenzake wangeshampachika
 
Msisitizo: kwa wale mlioelewa asanteni sn,mnaosema siwezi hamjui nimemseti vip huyu demu kiasi kwamba atapigika.Nimeianza program asubuhi mara tu baada ya kufika,na naona mpango unaenda vzr coz hahoji protector,

Tutaonana kesho wakuu,naona mchakato unaelekea ila series ya star tv inachelewesha mambo hapa anaipenda sn.

Don't judge me in a wrong ways. samahani kwa wote niliowakwaza,ila mtakuja jua yakiwafika.

"Is only the wearer who knows where the shoes pinch"
 
ongezea na hii "my husband toungue iz bitta"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom