Wanachomwogopa Mbowdm ni kwamba cdm ni kama NGO yake kupitia kwa mkwe wake Matei kwa hiyo watu wanabaki kusononeka tu moyoni lakini hakuna namna. Pengine njia pekee wamwachie chama waende hata kwa zzk au waunde chama chao.
ngoja tuwasaidie kuwafungua macho hawa CHADEMA maana hawawezi kuliona hili au hata kulisema.Ndo maana Mkapa aliwaita wapumbavu na malofa. Pamoja na Mbowe kuendelea kukihujumu chama, bado wanaendelea kumtukuza
Kinachoonekana kwa CHADEMA kwa sasa ni maamuzi ambayo yanakiua chama taratibu.
Tujikumbushe uteuzi wa mgombea wa nafasi ya urais kwa chadema ambae baadae alikuja kuwa mwakilishi wa tiketi ya ukawa.
Maamuzi yalifahamika kama kubadili gia angani. kumtosa mfia chama na mpiganaji wa muda mrefu dr.slaa ilikua dhihaka kwa wapambanaji wengi. Maamuzi haya hayakuwafurahisha wengi.
Hivi majuzi tena tukasikia kauli nyingine tena akiahidi kuwaletea wanachadema katibu mkuu makini.
Kilichotokea kinafahamika; uteuzi haukushawisi wana chadema asili. wanaona wamesalitiwa.
Mifano hiyo miwili ni katika kuonesha tu ni kwa namna gani maamuzi ya mwenyekiti yamekua yakikigharimu chama.
Inaweza isionekane kwa haraka ila kinachotokea ni mipasuko kila baada ya maamuzi flani toka ngazi za juu.
Wahusika watalipinga hili lakini ukweli lazima usemwe kua; maamuzi hayo na mengine kama hayo taratibu yana kipumzisha chadema.
Not healthy to who?sidhani hapo chadema kuna kidume hata mmoja ana uwezo wa kupingana na maamuzi ya mbowe; atachosema ni finals; that is not healthy.
Ndo maana Mkapa aliwaita wapumbavu na malofa. Pamoja na Mbowe kuendelea kukihujumu chama, bado wanaendelea kumtukuza
Ni sultani kweli na maamuzi ya sultani ndiyo ya mwisho hata kama yanaua chama.Hakuna kama Sultan Mbowe......
Umemsaidia mleta thread kuthibitisha aliyoyasema maana, mmekuwa viziwi kwenye ukweli. Maamuzi hata kama ni mabaya, ili mradi yametoka kwa mtu fulani, basi waliobaki wanaimba chorus tu. Hili ndilo analosema mleta thread na msipoamka toka usingizini, hakika you are headed to oblivion.nikusaidie kitu we MAPENGO KIBOGOYO..
Tangu umekuwa na umeanza kuijua CDM.. pamoja na utumishi wako hapo lumumba unatakiwa ujitambue sasa kuwa unayoyaonge kuihusu CDM ni kama unampigia mbuzi kinanda. huelewweki ila unasomeka umbwiga ubazazi wako tu.
hivyo usiumize makalio yako kwa kukaa kuiongelea CDM hii ya wanaojitambua.
wewe fanya kazi ya kudeki hapo kibaraza cha wakubwa wako. na ujue tangu umeanza nyimbo zako hakuna hata moja iliyokutoa unaishia kung'oka mimeno tu kama ngilimaji..
CDM ndo hiyo inayoelekea kutawala jiji muda si mrefu. hunatofauti na anaebana lkn mwishoe lazima utapanua tu.