Maamuzi ya BRELA juu ya logo yangu

Maamuzi ya BRELA juu ya logo yangu

Unafikiri ni mimi tu ndo natumia huo mnyama, mbona kuna kampuni nyingi zinatumia
Usinijibu kwa ukali me sio afisa wa brela ubishi wako hautabadilisha maamuzi ya yao,acha ujinga badili huyo mnyama.
 
Tatizo huyo mnyama kaiga mkao wake, angemweka kichwa tu bila miguu uone kama wangegoma.

IMG_3145.jpg


unasemaje na huyu hapa boss
 
Intellectual Property moja kati ya sekta ambayo haina wataalamu wa kutosha hapa nchini. Kuna techniques mbalimbali za kuweza kuwin usajili.
Kuona kuwa kuna wengine wanatumia haihalalishi kuwa na wewe upewe usajili labda waatumia bila kusajili au walitangulia kusajili kabla ya hiyo ya Ferrari who knows?
Jamani trademarks ni sanaa pia ni kitu ambacho kitakutambulisha cha kufanya edit kiadi kisha upeleke na mimi naupenda huu mfumo kwani huepusha mwingiliano na kama ikifika 50% ya ufanano unakataliwa vivyo hivyo kwa majina ya biashara
 
Kama wamekataa inakushinda nini kutengeneza nyingine.Au badili vitu vilivyowakwaza.kama ni huyo mnyama weka mwingine.weka ata ndege aina ya bundi.Mambo mengine bongo yanakwamishwa na urasimu mkubwa uliopo nasio kwasababu kitu kina makosa.vinginevyo jiongeze.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini watanzania tunapenda logo zenye mavitu mengi Sana. Kwanini usitumie Hilo jina DORA kulifanya iwe logo.

Angalia logo za kisasa Kama

Nike
Apple
Samsung
Nokia
Adidas
Facebook
Twitter
Instagram
Tiktok
Tesla

N.k
Lakini akumbuke kuwa kuna kampuni ya DIADORA pia
 
Kwanini watanzania tunapenda logo zenye mavitu mengi Sana. Kwanini usitumie Hilo jina DORA kulifanya iwe logo.

Angalia logo za kisasa Kama

Nike
Apple
Samsung
Nokia
Adidas
Facebook
Twitter
Instagram
Tiktok
Tesla

N.k

huyo logo aina mambo mengi.
alafu ksmouni tajwa hapo zina logo.

Tesla
Tiktok
Instagram
Twitter
Adidas
Apple
 
Back
Top Bottom