Maamuzi ya BRELA juu ya logo yangu

Maamuzi ya BRELA juu ya logo yangu

Kuna system wanatumia, mfano kama umeweka picha ya dog, wao huwa hawaangali kingine zaidi ya kuingiza jina dog na kama system itaonesha kufanana kwa asilimia 50% ya kampuni zingine! Basi itoshe kuikataa logo yako!

At least mfano unatakiwa uwe chini ya 50%
Sasa hivi wameshusha mfanano mpaka 30% lakini kwa shida mno
 
Au mgeuze huyo Farasi badala ya kunyanyua miguu ya mbele wewe muweke amenyanyua ya nyuma kama anarusha double kick.
 
Naomba kusaidia hili wakuu.

Nilikuwa na mpango nianzishe brand ya kutengeneza viatu, nguo, kofia na vitu vingine, maana nilitaka itambulike kabisa brela.

Nilituma maombi ya isajili wa jina na logo(trademark) lakini brela wamekataa maombi yangu kisa imefanana na logo ya ferrari,

lakini ukiangalia logo yangu na ya ferreri haziendani hata kidogo.

naweza kufanyaje ili kulalamika juu ya hili ili ipitiwe upya.

dora brand
View attachment 2127972

ferrari logoView attachment 2127973
naona kama zinatofautiana sana hata haziendani.
weka zebra au mbuzi
 
Usio muoga wa biashara buni log yako tofauti na hiyo kabisa ya ferrari tumia brain yako zaidi, ujue watumiaji wa viatu vyako watavutiwa na nini? Kuliko ku edit hiyo hiyo
 
Wanataka chochote (rushwa), sio bure
 
Usio muoga wa biashara buni log yako tofauti na hiyo kabisa ya ferrari tumia brain yako zaidi, ujue watumiaji wa viatu vyako watavutiwa na nini? Kuliko ku edit hiyo hiyo

So unaweza kuniambia nimeiga nini, au nimetumia faras, unafikiria hakuna kampuni zingine zinazotumia farasi?
 
Sasa hivi wameshusha mfanano mpaka 30% lakini kwa shida mno
Sidhani kama waneshusha similarity/mfanano mpaka 30%

Mwaka 2017 nilihangaika na jina la biashara yangu mpaka nikaacha.

Safari hii sasa mwezi na ushee, kila jina ninalopeleka linarudi hata kwa similarity ya 20%. Ni shida.
 
cliff pale mahali kuna tatizo huo ndio ukweli mimi nami nilihangaika mno halafu mwishowe kuna jina likakubali lakini ambalo mwanzoni kabisa lilikuwa rejected
 
Kufanana sio lazima iwe vilevile, Mfano ni kuendana kwa asilimia au mtazamo fulani, hapo ni imefanana wazungu wanasema jaribu kuwa creative. Brand Njema Ndugu
 
Itoshe kusema wamekuonea.

Hizo logo mbili hazifanani, ni kwamba zimetumia logo concept moja ya huyo mnyama (farasi).

System ya brela haiko fair, inatakiwa iboreshwe. Kuna logo zinafanana ila hiyo hapana.
 
Baada ya brela kukataa maombi ilibidi niangalie makosa yangu, nilikutana na makampuni mengine yanatumia farasi, maana brela wamesema farasi inatumiwa kwenye kampuni ya ferrari.

Kama kisa ni farasi mbona kampuni fulani imeweka farasi.
Je, umewahi kumuona farasi? Kwenu wapo, Ferarri wanamtumia kwa sababu injini za gari zinapimwa nguvu ya uwezo kwa hp(horse power), yaani nguvu ya farasi, sasa na wewe hizo kandambili utazipima kwa hp?
 
Kwanini watanzania tunapenda logo zenye mavitu mengi Sana. Kwanini usitumie Hilo jina DORA kulifanya iwe logo.

Angalia logo za kisasa Kama

Nike
Apple
Samsung
Nokia
Adidas
Facebook
Twitter
Instagram
Tiktok
Tesla

N.k
 
Back
Top Bottom