Maamuzi ya atheists

For sure mimi nimesoma Qur an za kiswahili then nikasoma ya kiarabu , kuhusu dini mimi nimechagua kuishi kama Muislamu
. Kiufupi ,maisha ya kiislamu nayapenda zaidi yake kwa sababu ni ule usawa
Na ndio Maana kuna uhuru wa kuabudu.

Kuna dini kubwa 7 na zote wamesoma vitabu vyao na wakayapenda na wakaona kuna usawa na wakachagua kuishi kwa dini hizo.

By the end of the day.
Mm nina amini hakuna aliyekosea wala kupatia. Ni mtindo tu wa maisha tumechagua. Nothing more.
 
Mama yako abalikiwe sana

Mama ni mshindi tayari anao uzima wa milele

YESU KRISTO aliwambia wayahudi nyie mtakufa katika dhambi zenu maana mumemkataa masihi wa MUNGU

Kama mama yako kampokea masihi wa MUNGU ni mshindi tayari

Abarikiwe sana
 
Hadithi yako inatufundisha nini tajiri
 
Yeah ,dunia ni kubwa so shika njia yako basi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…