Wewe ni mkristo alafu anadhubutu kuanika upuuzi unatembea na mume wa mtu tena mwenye familia yake bora,
huoni unamkatili mschana mwenzako? Na ukiolewa mapenzi yataamia nyumba ndogo utakuwa sababu ya kukosekana mapenzi nyumba kubwa.
Tafuta mume wako sio sahihi hata kidogo kuolewa wala kuwa na uhusiano na mume wa mtu zaidi wewe ni mkristo, na msomi, ukiolewa utajuta baadae i guarantee you, MUNGU WA MBINGUNI hatakaa kimya na kuingilia upendo wa ndoa ya watu ni laana.
MUNGU WA MBINGUNI atakupa mume wako kuwa na subira, na kusema unamkubali mume wa mtu iwe mwisho, funga moyo jitie ujasiri vunja uhusiano.