Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

Pole sana kwa jirani.

Tatizo dogo sana hilo kwani kwa kupitia maombi ya mtu mwaminifu kwa Mungu, huyo mwanamama anarudi ndani ya siku 7.

Kwa wale wanaoamini upande wa pili pia upo uwezekano 100% wa kumrudisha.
Amina. Jibu zuri sana hili. Mungu ni mwema. Yesu Kristo akubariki sana. Nitafikisha ujumbe na ataufanyia Kazi kuanzia leo hii...,kwa 7 days.
 
Nasema katika Hili bado hatujajua kiini cha tatizo maana tumesikia upande mmoja tu kwamba mwanamke kachepuka nini sababu ya kuchepuka huenda mume nae ni mashuhuri katika kuchepuka tutakuja na comment gani
 
Nasema katika Hili bado hatujajua kiini cha tatizo maana tumesikia upande mmoja tu kwamba mwanamke kachepuka nini sababu ya kuchepuka huenda mume nae ni mashuhuri katika kuchepuka tutakuja na comment gani
Jamaa hana tabia za kuchepuka
 
Kutokana na maelezo ya jamaa, hakuwa anajua kuwa mkewe ana HIV+ kwa muda mrefu. Mkewe alimficha. Na sasa anatimiza zaidi ya miaka 11 akiwa na gonjwa hilo huku jamaa akiwa hana.
Miaka 11 jamaa hajaambukizwa ngoma?aah basi huyo jamaa nafikiri soseji yake haisimami period.
 
Hapa naona hakuna tatizo...mtu kaondoka ...lazima maisha yaendeleee......
...Msifanye maisha kuwa magumu .....kama mtu hakutaki usimlazimishe......
Ishu sio kuanza upya, ishu ni muda uliopoteza na maumivu yanakubadilisha na kukuacha na woga wa mapenzi, achilia mbali familia kuvunjika,magonjwa,hasira,reputation, lifestyle kubadili
Tuacheni utani kuvunja ndoa/mahusiano si jambo jepesi,especially ukiwa umependa
 
Ni sahihi unachosema.
 
Hii story hii nina wasiwasi nayo
 
Niliwah kusema, "Familia zingine sio za kuoa wala kuolewa humoo"
 
jamaa alikosea kumuoa kicheche. nawakumbusha niliyoandika ktk mambo ya msingi kabla ya kuoa/kuolewa. nilisema kama mchumba wako ana tabia usiyoipenda na habadiliki, usimuoe ukitegemea atabadilika kwenye ndoa. tena ndoa ya Kikristo haina TALAKA.
Sasa kwa mfano mpenzi wangu ananiambia ananipenda lakini nikimtumia meseji hajibu, anapiga simu na mimi napenda kuchat. Niachane nae maana haka katabia sikapendi, na kama unavyosema si atanisumbua tukiwa ndoani.
 
Niliwah kusema, "Familia zingine sio za kuoa wala kuolewa humoo"
Sasa wao wataishije jamani kama mnataka watu wasiwaoe?
Wavumilieni tu.
Mungu alisema tuchukuliane mizigo, ndio kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…