Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,628
- 112,417
Thibitisha ni wapi wakristo kufunga ndoa bomani kwao ni kosa.Kosa lingine ni kufunga ndoa bomani wakati wao ni Wakristo!
Ili next time uwe na akili timamu, kwanza download biblia kwenye device yako, kisha funguwa Mathayo 19 mstari wa 8 mpaka wa 12 akili zikishakurudia kuliko ulivyokaririshwa na paroko wako rudi hapa sasa kwenye mjadala na utowe ushuhuda talaka Yesu ameruhusu au hajaruhusu!?wapi Talaka Yesu karuhusu?
Mhhh isije kuwa mwanamke anatoka Familia za kijinga jinga , kama anafanya haya na Baba ake anamsapoti Hataki jamaa (Mkwe) awe nae Hapo Kuna walakini.Jamaa ; "Nimemvumilia kwa mengi sana. Niligundua kuwa ana HIV+ miaka 8 iliyopita, tayari tulikuwa na mtoto mmoja. Nikamsamehe. Nashukuru Mungu , Mimi na wanangu hatuna HIV+ ;
Katembea na majirani zangu mpaka kwenye Kitanda CHETU. Nimemsomesha chuo na akapata Kazi.
Kama mwanamme, sikutaka kabisa kujua anapata mshahara kiasi gani, mara nyingi nimekua nikimhudumia vyema pale ninapokuwa nina uwezo. " Nukuu za jamaa
usiwe mkali, tulia! wapi Yesu karuhusu talaka ktk Biblia?Hujui biblia, na kama husomi biblia omba tuliyosoma tukufundishe na tukupe verse zinasemaje na siyo unabana puwa tu wakati hujui kitu.
Mathayo 19:8-12usiwe mkali, tulia! wapi Yesu karuhusu talaka ktk Biblia?
tumia lugha nzuri. usilazimishe mawazo au imani yako. baadhi ya sehemu ktk Biblia tafsiri ziko tofauti kulingana na dhehebu husika. Kwa Wakatoliki, Waanglikana, Walutheri na baadhi ya Wapentekoste na baadhi ya walokole hakuna talaka na haya ndo mafundisho ya Yesu. Hiyo Mathayo 19 unayosema haimaanishi hivyo. ni tafsiri potofu kusema hapo Yesu karuhusu talaka. iko hivi: shida ni tafsiri. Biblia ya kwanza iliandikwa kwa Kiebrania na Kigiriki. neno la Kigiriki 'porneia' ndo Yesu alilitumia akasema walio ktk hiyo porneia waachane. porneia ni uhusiano wa ndoa kwa ndugu wa karibu mf. mtu na binamu yake au dada na kaka hawa ndiyo Yesu aliwalenga kuachana kwakuwa huu ni uhusiano haramu. tafsiri ya kiswahili neno moja linalomaanisho porneia halipo, ndo wakasema uzinzi.Ili next time uwe na akili timamu, kwanza download biblia kwenye device yako, kisha funguwa Mathayo 19 mstari wa 8 mpaka wa 12 akili zikishakurudia kuliko ulivyokaririshwa na paroko wako rudi hapa sasa kwenye mjadala na utowe ushuhuda talaka Yesu ameruhusu au hajaruhusu!?
Bomani wanafunga wasio na dini, au wenye dini kwa ruhusa maalum mf. wengine kwa sababu ya pingamizi kwa ndugu wanaweza kufunga ndoa kote kuwili kwa wakati mmoja. ila kwa Mkristo na Muislamu ndoa ni Kanisani na Msikitini tu!Thibitisha ni wapi wakristo kufunga ndoa bomani kwao ni kosa.
Usilete sheria za mchungaji wako hapa au za kanisa lako ndio ukataka kuaminisha watu ndio ukristo, ukristo upo kwenye Biblia tu.
Ndio mnavyodanganywa hivi na hao mnaowaita viongozi wenu wa dini?tumia lugha nzuri. usilazimishe mawazo au imani yako. baadhi ya sehemu ktk Biblia tafsiri ziko tofauti kulingana na dhehebu husika. Kwa Wakatoliki, Waanglikana, Walutheri na baadhi ya Wapentekoste na baadhi ya walokole hakuna talaka na haya ndo mafundisho ya Yesu. Hiyo Mathayo 19 unayosema haimaanishi hivyo. ni tafsiri potofu kusema hapo Yesu karuhusu talaka. iko hivi: shida ni tafsiri. Biblia ya kwanza iliandikwa kwa Kiebrania na Kigiriki. neno la Kigiriki 'porneia' ndo Yesu alilitumia akasema walio ktk hiyo porneia waachane. porneia ni uhusiano wa ndoa kwa ndugu wa karibu mf. mtu na binamu yake au dada na kaka hawa ndiyo Yesu aliwalenga kuachana kwakuwa huu ni uhusiano haramu. tafsiri ya kiswahili neno moja linalomaanisho porneia halipo, ndo wakasema uzinzi.
kila mtu akitafsiri Biblia unadhani itakuaje? kila mtu atafanya ya kwake kadiri ya vionjo na uovu wake. mkitalikiana, nani atalea watoto vzr? ni kuharibika kwa watoto tu. wanawake iila mara wanaachwa na wanadhalilika sana. hili Mungu alijua na ndiyo maana akakataza. we jiulize kwenye hiyohiyo Mathayo 19, kwanini waliomuuliza Yesu habari za talaka, mwishoni wakasema kama mambo yenyewe ndo hivyo ni heri kutooa! ni kwasababu kutokuwepo talaka waliona ni maisha magumu. tusihalalishe mambo yetu binafsi tukaikacha amri ya Mungu. kwa Wakristo hamna TALAKANdio mnavyodanganywa hivi na hao mnaowaita viongozi wenu wa dini?
Sasa hapa Biblia imeandikwa kiswahili bado huelewi wewe unaleta hadithi za mchungaji wako, sasa ingeandikwa kiarabu ingekuwaje? wewe ndio wale wagalatia wasio na akili aliowasema Yesu mwenyewe.
Haya ni maoni yako, Biblia haipo kwa ajili ya kumpendezesha mchungaji wako aliyekubrain wash, bali ni kwa ajili ya watu wenye akili wanaisoma kweli na kweli huwaweka huru. Yesu ameruhusu talaka kwa sababu alizozieleza kwenye biblia.kila mtu akitafsiri Biblia unadhani itakuaje? kila mtu atafanya ya kwake kadiri ya vionjo na uovu wake. mkitalikiana, nani atalea watoto vzr? ni kuharibika kwa watoto tu. wanawake iila mara wanaachwa na wanadhalilika sana. hili Mungu alijua na ndiyo maana akakataza. we jiulize kwenye hiyohiyo Mathayo 19, kwanini waliomuuliza Yesu habari za talaka, mwishoni wakasema kama mambo yenyewe ndo hivyo ni heri kutooa! ni kwasababu kutokuwepo talaka waliona ni maisha magumu. tusihalalishe mambo yetu binafsi tukaikacha amri ya Mungu. kwa Wakristo hamna TALAKA
Kwa Uelewa wako, Unafikiri Mwanamme anaweza kuwa na Tatizo gani? Au huyo Mwanamke???kwa haraka kuna hatari sana...mwanamke kachepuka kapigwa af katoroka...hata msamaha hajaomba...mh eeti baba kashawishi...kuna jipu kubwa sana nyuma ya pazia.......kupiga najua hasira na uanaume ume play part ila hili la kutoroka....kuna kitu zaidi...either mwanaume ana tatizo kubwa aumwanamke ni majanga sana
either mwanamke alichepuka kwa tamaa au mume hamfanyi vizuri......au pia mwanamke kajazwajeuri na baba mtu...au kuna visa mume alifanya basi vikazaa hayo....either...either....etcKwa Uelewa wako, Unafikiri Mwanamme anaweza kuwa na Tatizo gani? Au huyo Mwanamke???
either mwanamke alichepuka kwa tamaa au mume hamfanyi vizuri......au pia mwanamke kajazwajeuri na baba mtu...au kuna visa mume alifanya basi vikazaa hayo....either...either....etcKwa Uelewa wako, Unafikiri Mwanamme anaweza kuwa na Tatizo gani? Au huyo Mwanamke???