Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

Hapa naona hakuna tatizo...mtu kaondoka ...lazima maisha yaendeleee......
...Msifanye maisha kuwa magumu .....kama mtu hakutaki usimlazimishe......
 
Wazo zuri
 
ndugu nielewe, hapa umesema jamaa alishajua kuwa demu ni malaya(kicheche). ndo nasema alikosea kuoa, kilichomkuta alikitegemea. hapa sio suala la unconditional love!
 
Unconditional Love = Love the Sinner ; But >>> Hate Sin
 
Ni kweli kabisa
 
Kwa agizo la Mungu, kwa Wakristo hamna Talaka. Wanaoachana leo na kuoa wengine, wanaishi uzinzi
Mungu yupi huyo unayemtaja wewe hapa? Yesu aliyeruhusu talaka na wewe usiyejuwa lolote nani tumwamwini?
 
Hapa tunaelezwa makosa ya upande mmoja tu, inaonyesha hiyo ndoa ina mambo mengi tu ambayo hatuyajui.
 
Ndoa zote unazozijuwa wewe zina talaka Mahakama ikijiridhisha zipo sababu za msingi za kuvunja ndoa na inavunjwa hata mlifungishwa ndoa na Papa.
Tell them. Wengine wanang'ang'ania talaka hakuna wakati kuna ndoa hazifai zinahatarisha hata maisha ya wanandoa pamoja na watoto. Ndoa zinavunjika tu..iwe ya kanisani, msikitini, kimila au ya serikalini.
 
duuh huwa najiuliza sana sijui itakuaje maisha yangu ya ndoa, mana mpka mwili unasisimka aisee, yan kuchapiwa mke wangu kiraisi hvo. huyo jamaa ambwage tu huyo demu maisha yaendelee. yan hafai hata kwa vocha.
 
Kama unaogopa ndoa kwa sababu za kuchapiwa basi hakikisha unaowa mwanamke bikra. Sawa?
 
Hapa tunaelezwa makosa ya upande mmoja tu, inaonyesha hiyo ndoa ina mambo mengi tu ambayo hatuyajui.
Ni kweli. Na kubwa kuliko yote ni pale mmoja kati ya wanandoa kuishi kwa kuigiza
 
duuh huwa najiuliza sana sijui itakuaje maisha yangu ya ndoa, mana mpka mwili unasisimka aisee, yan kuchapiwa mke wangu kiraisi hvo. huyo jamaa ambwage tu huyo demu maisha yaendelee. yan hafai hata kwa vocha.
Usilolijua ni kama USIKU WA Giza.
 
Binafsi siungi mkono kwa namna yoyote ile mwanaume kumpiga mke wake.

"Mwanamke mzuri asie na akili ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…