huyo jamaa mzima? masihara hayo. kabla ya kuoa hakuona wanawake wengine? au domo zege?Jamaa ; "Nimemvumilia kwa mengi sana. Niligundua kuwa ana HIV+ miaka 8 iliyopita, tayari tulikuwa na mtoto mmoja. Nikamsamehe. Nashukuru Mungu , Mimi na wanangu hatuna HIV+ ;
Katembea na majirani zangu mpaka kwenye Kitanda CHETU. Nimemsomesha chuo na akapata Kazi.
Kama mwanamme, sikutaka kabisa kujua anapata mshahara kiasi gani, mara nyingi nimekua nikimhudumia vyema pale ninapokuwa nina uwezo. " Nukuu za jamaa
kama walifunga ndoa ya Kikristo, hamna TALAKA hadi kifo kiwatenganisheaachane nae
maishA yanaendelea
ni kwenda kutatua tatizo la jirani kama akikuhusisha,asipokuhusisha chukua jembe nenda kalimeNini Maana ya ujirani mwema???
unaacha afanye yote.kama walifunga ndoa ya Kikristo, hamna TALAKA hadi kifo kiwatenganishe
ni somo kwetu pia.ni kwenda kutatua tatizo la jirani kama akikuhusisha,asipokuhusisha chukua jembe nenda kalime
Umejitaidi sana na hongera Kwa uvumilivu wengine huwa tunashindwaJamaa ; "Nimemvumilia kwa mengi sana. Niligundua kuwa ana HIV+ miaka 8 iliyopita, tayari tulikuwa na mtoto mmoja. Nikamsamehe. Nashukuru Mungu , Mimi na wanangu hatuna HIV+ ;
Katembea na majirani zangu mpaka kwenye Kitanda CHETU. Nimemsomesha chuo na akapata Kazi.
Kama mwanamme, sikutaka kabisa kujua anapata mshahara kiasi gani, mara nyingi nimekua nikimhudumia vyema pale ninapokuwa nina uwezo. " Nukuu za jamaa
Talaka zipo maisha yamebadilika sana,kama walifunga ndoa ya Kikristo, hamna TALAKA hadi kifo kiwatenganishe
unachofanya ni kuingilia ndoa ya watu,kwani hujui ndoa ni fumbo??we umeoa au bado?Ninachofanya hapa ni nini Ndugu?
sio sawa. umesema kabla hajamuoa alitambua ni kicheche, kwa hali hii demu hakupaswa kuolewa. maana hali ya ukicheche imeleta kitu kilichotegemewa(HIV/AIDS)Jamaa ana unconditional Love!
Kwa agizo la Mungu, kwa Wakristo hamna Talaka. Wanaoachana leo na kuoa wengine, wanaishi uzinziTalaka zipo maisha yamebadilika sana,
Ndoa ni fumbo la Imani. Bila shaka huelewi "Imani" ni nini. Ninachofanya si kuingilia ndoa ya jamaa bali natimiza amri kuu ya Mungu " Mpende Jirani yako kama Nafsi yako".unachofanya ni kuingilia ndoa ya watu,kwani hujui ndoa ni fumbo??we umeoa au bado?
Kutokana na maelezo ya jamaa, hakuwa anajua kuwa mkewe ana HIV+ kwa muda mrefu. Mkewe alimficha. Na sasa anatimiza zaidi ya miaka 11 akiwa na gonjwa hilo huku jamaa akiwa hana.sio sawa. umesema kabla hajamuoa alitambua ni kicheche, kwa hali hii demu hakupaswa kuolewa. maana hali ya ukicheche imeleta kitu kilichotegemewa(HIV/AIDS)