Maamuzi magumu

Maamuzi magumu

Fanya yako, toa mawazo kama una mtu ,tafuta biashara hata kama ndogo ithamin itakutoa, ingia kwenye vyama vya wanawake huko utapata mawazo mbalimbali, nini ufanye na nk ,ngoja nikuulize swal .mfano mumeo mngekuwa mnapendana lakin bahat mbaya akspata ajal akafa . hv huyu mtoto ungemlea au ungempelekea baba yake kaburin? Chukua hatua
 
wazazi wote wanajua kinachoendelea tangu uchumba

jack;
unasema wazazi wote wanajua kinacho endelea tangu uchumba!! Ni mzazi yupi aliyekufundisha kwenda kutoa pichu yako kabla ya ndoa??
Nakusihi, usimruhusu mzazi yeyote akushauri tena hapo. Wazazi wanangojea ushushe mzigo tu waangalie. Omba sana Mungu, mtoi awe salama, wajua ninachokisema, akija na katatizo kidogo tuu, ni mzigo wako weye na mamako tu. Hutamwona mtu hapo.
Ushauri; Kama anakujali, anakutunza na siku moja moja anamwongezea mtoto sikio.... we wajua nisemalo. Tulia tuli, ukijifungua, asikujue tena mpaka pete ya ndoa hadharani. Mwambie Bahati mbaya huja mara moja tu hairudii ikirudia ni mazoea. Niliwahi kumshauri binti mmoja akadhani miye naota tu. Leo ana watoi 4 na pete bado. Juzi kati kaja kwangu, jamaa kampandishia zogo kweli kweli mpaka likawa timbwili. Jamaa kakomaa kuwa alimkuta mtu ndani ya nyumba mchana peupe. Kumbe uongo ni mtu anataka kukwepa majukumu.
Usiwalete wazazi wala marafiki hapo. Uamuzi unao weye tu
 
asante kwa ushauri
 
ok! pole sana , tafuta namna ya kuyamaliza hayo na jua tu mapenzi hayalazimishwi.

nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.
 
Jack weka namba ya M-PESA tukuchangie.

I will be willing to assist, but only if she moves out of that indecent nigga house. Kwani kulea mimba ni pesa ngapi?

Jack1 nenda nyumbani mama

Just like the old days
 
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.

kuna watu mna roho ngum aisee....
 
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.

Huo muda wa kung'ang'aniaa hapoo na kurudi ukabanana kwenu hata kama hawakutakii mbona kwa huyo umeweza kukaa na unavumilia si bora urud kwenuu mi siweziii na chakula nampikiaa mbona nawekamo sumu ya panyaa wadedii ,rudi kwenu huyo mtoto atakua tu kwa Neema za Mungu najua unapitia magumu lakin ndio kujifunza na kupata akiliii na yatapitaaa we rudi nyumbanii
 
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.

Hapo ni fiksi tu unataka ufurahishe jukwaa so akija nao unawapikia then wanasepa,unaroho nzuri sana bidada ningepata kma wewe naoa fasta
 
Hakikisha unampa mzigo daily na hiv mjamzito joto lake atadata nakuridisha tim mazima
 
pole sana ila kikubwa tafuta kazi tu Jack huyo,
usimuone kuwa ye ndo kila kitu kwenye maisha yako...
kuwa bila yeye huwezi
 
Za siku nyingi wapendwa?

Nadhan baadhi yenu mnakumbuka nilileta uzi humu kuwa nina ujauzito na jamaa haeleweki nyumbani ndo hivyo tena.

Namshukuru Mungu ujauzito wangu wa miez 6 unaendelea vizuri, baada ya jamaa kuhama alipokuwa anakaa na kubadilisha namba nikabahatika kukutana na rafiki yake wa karibu akanipa direction nzima alipohamia.

Kwakuwa sikua na mbele wala nyuma na nyumbani ndio hivyo nikaamua kumfata alipo bila yeye kujua aliponiona alishangaa ila hakusema chochote.

Wapendwa nimekubari yote kwa kipindi hiki mpaka hapo nitakapojifungua na kukaza nitaendelea na maisha yangu ndo hivyo tunaishi kwa neema za Mungu tu.

pole sana..
 
pole sana na hongera pia bt vumilia tu mungu ni mwaminifu
 
Kubali kuwa kosa limetokea na tubu kwa Mungu kwa dhambi hiyo cz vitabu vya Mungu haviruhusu tuzini lkn kikubwa mpnz ongea n wazaz wako vizur urudi tu nyumbani. Wazaz always wanaumia wanapotuona na matumbo hm lkn mjukuu akija husahau yote. Km alikukimbia mimba ikiwa ndogo n dhahir anakwepa majukumu sasa halahala acjeakakonyongelea mbali katoto kakija ingawa siombei hili litokee.
Fanya vikaz vidogovdogo ujiajiri uzae mwanao umlee cdhan km utakosa ndg wa kukununulia nepi au besen kuliko kuendlea na hiyo tamthilia ya isidingo otherwise huishi n ndg zako vizuri.
Pole mamie
 
Back
Top Bottom