Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ngoja nkwambie mwanaume kama hakutaki usimlazimishe utajuta maisha yako yote hata kama atakuoa ndoa ni upendo amank na furaha usije ukujikuta baadae unajijutia wewe si wa kwanza kuzaa nje na wala s wa mwisho
wanawake tuna tabia ya kujipa moyo kwamba labda atabadilika km kashindwa kukuthamini kipindi hiki upo nae mjamzito huyo tena bas usimhesabie huyo live your life my dear
You have said it all my dear
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums