za cku nyingi wapendwa
nadhan baadhi yenu mnakumbuka nilileta uzi hum kuwa nina ujauzito na jamaa haelewek nyumbani ndo hivyo tena.
namshukuru mungu ujauzito wangu wa miez 6 unaendelea vizuri, baada ya jamaa kuhama alipokua anakaa na kubadilisha namba nikabahatika kukutana na rafiki yake wa karibu akanipa direction nzima alipohamia.
kwakua ckua na mbele wala nyuma na nyumban ndo hivyo nikaamua kumfata alipo bila yeye kujua aliponiona alishangaa ila hakusema chochote
wapendwa nimekubar yote kwa kipindi hiki mpaka hapo nitakapojifungua na kukaza nitaendelea na maisha yangu ndo hivyo tunaishi kimungu mungu tu.