Maamuzi magumu...!

hahaha muhimu umetoa time tu, hayo mengine yote yanatatulika loool.
ulale salama honey! sweet dreams and spare the sweetest one for me.

Nite nite Kloro....ota tumekua First family ya JF...lolzz!!
Samahani Mbu kwa uchakachuzi!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Heheheh sasa Mbu huu ni mtego mwingine. Huwezi kutega na kutegua kitendawili mwenyewe bwana....au ndio gia ya kutuweka hapa??

Watu wanapenda kwa wasiwasi siku hizi aisee....tena hiyo ni bahati.Wengi wanaingia kwenye mahusiano kibiashara zaidi ..mtu wa kumpendezesha....pesa..nyumba...gari....maisha mazuri...mtu wa kumridhisha kimwili and so on.Sasa ikiwa huyu wa maisha mazuri hatoshelezi kwingine ndo unakuta mtu anatafuta na mwingine ili huko nako mambo yaende. Yani wanaunganisha unganisha mpaka wapate kila kitu (source KLORO wa ukweli).

Heheheh na wanaokubali kuwekwa standby nao ndo hivyo hivyo ...MAHITAJI.
Kama anapata anachotaka basi mengine yote anayapotezea....alafu na yeye anatafuta mwingine wa kumpa hati miliki ya anayokosa alipowekwa standby.

...dahhh, ndio kusema kizazi hiki hakitosheki, kizazi cha walafi na waroho!....tunaangamia jamani!


Dah! hiyo buluu hiyo yaani leo tu kuna mkasa nimepatiwa uko exactly sawa na hivo mnavyoongea, ningekuwa sio ufinyu wa muda na michofu walahi ningeuweka wazi zaidi maana labda mngewasaidia pia hawa waathirika kupitia hii thread, yaani dume limemng'ang'ania mdada kwa kisa tu eti mahitaji yake yatasambaratika kwa jinsi walivyojijenga pamoja.

....swadakta, sasa kidogo utakubaliana nami kwanini kuna watu...pamoja na huyu mdada wanaweza kabisa jikubalisha mahusiano na wanaume wawili hata watatu hata kama huko anakuwa abused, almuradi yake yanamuendea...


Khaaa...embu mwambie aache ujinga.
Kwani kabla yake ilikuaje hata aone hawezi kuendelea bila kua na dada beneti?

....lol...Lizzy ushasahau ulichoandika hapo juu?
MAHITAJI!


Nite nite Kloro....ota tumekua First family ya JF...lolzz!!
Samahani Mbu kwa uchakachuzi!!!

...usijali Lizzy, umechakachua kwa nia njema kabisa...
 
Back
Top Bottom