Maamuzi magumu: Zambia v/s i/coast

Maamuzi magumu: Zambia v/s i/coast

paranawe

New Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
3
Reaction score
0
mechi imeisha namwita "mtani" azime king'amuzi chake na afunge geti nirudi uswazi sipati jibu, natingisha kitasa astuke wapi, mzee yupo safarini, au nimpigie simu amumshe mkewe? Noma. Natweta, saa nane usiku hiyo. Uamuzi mgumu: Potelea mbali nafungua mlango wa chumba cha "mtani", taa inawaka, niliyoyaona, m/wangu. Kasi ya moyo: 4200 rpm, ch.... Tu. Wanajf kuna mitihani migumu. Nasubiri kesi ya kuacha geti wazi.
 
Hizi mechi za usiku huwa zinaambatana na mambo mengi tu yanayosababisha ndoa za watu kuwa majaribuni!
 
Sasa na wewe baba zima,mwenye mke hayupo!unaenda kuangalia mpira ili iweje!ndio ukome.
 
We nae baba zima,kwa nin ucnunue king'amuzi chako?ovyooo
 
Kwanza kabisa ninavoamini ni haya kwa hilo tu tukio lako... Wanaume wana un-written rule out of understanding of the following:


  1. Kama yeye mwenye nyumba hayupo (baba wa nyumba) hurusiwi kutia kambi nyumbani kwake... Labda waangalia the well being ya mkewe na unasepa. Au labda hio mechi ni mchana na kuna kundi kubwa la wapenda mpira humo ndani.
  2. Mara nyingi marafiki ambao mmoja wao anaishi katika nyumba ya peke yao na ina geti kabisa, hua na marafiki wafananiavo hivo (wakuangalia nao mechi home) otherwise ni woote bar lakini sio hapo home.
  3. By all means as a gentle man basi ungegonga mlango kwa nguvu... mpaka ulifungua mlango na wajua ni chumbani ni dhahiri hayo ulio yakuta ulitaraji na ulitaka iwe hivo.
  4. Nimekutana na wanaume mbali mbali... wewe mimi sipendi mpira but I know kua ile mechi ya jaana ilikua kabambe kabla hata haijaanza kuchezwa... yaana wale wanaume wapenzi kweli wa mpira hata wenye TV walienda Bar wawe na washikaji..
  5. Bahati nzuri inakua kama twajifurahisha tu hapa.... najua ni dhahiri kua ni utani, na kama ingetokea kweli ungeona hata woga kusimulia ukiogopa asije mume akasikia (au wambea) maana hawataamini kua hukusogelea bi dada....
 
kwa hiyo ukafanyaje sasa,
inaonyesha ulilamba bingo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom