BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Ndio mkuu ila under one conditionNo comment
Maji ukiyavulia nguo sharti uyakoge.
Hatari mkuu mana kwa huyu binti sijui kanipa nnAisee hongera! Unajua kupenda mkuu!
Mtaji uliompa akifanikiwa kupata hela tu mkuu sahau, wanawake wengi wakishaanza kujitegemea jeuri huja juu. kila la kheriILA na yeye nimempa kamtaji kidogo cha biashara yake ndogo..
Waliachana kisa mwanaume hawajibiki home full misele hawa vijanaHongera kwa kuwa na true love. Kiukweli wazazi huwa hawaachi kuwasiliana na wakati mwingine hukumbushiana lkn inategemeana na walivyoachana ila lwa huyu waliachana kwasbb ya shida ila walikuwa wanapendana. Ila mkuu kwann usingetafuta mwanamke fresh ukaanza naye maisha?
Ok! Hongera kwa huo moyo ila mm nisingeweza lbd km angekuwa hana mtoto
Mkuu sijamzuia mawasiliano mana hata saizi sikai naye nyumba moja yeye kwake na Mimi kwangu ila kwa masharti hayo tuu akiweza freshHongera kwa kuwa na true love. Kiukweli wazazi huwa hawaachi kuwasiliana na wakati mwingine hukumbushiana lkn inategemeana na walivyoachana ila lwa huyu waliachana kwasbb ya shida ila walikuwa wanapendana. Ila mkuu kwann usingetafuta mwanamke fresh ukaanza naye maisha?
Ok! Hongera kwa huo moyo ila mm nisingeweza lbd km angekuwa hana mtoto
Kwa hapo sitashangaa kuona mwanamke ana iba. Ogopa shida, shida humfanya mtu kukubali kila kitu lkn hamaanishi itabadilisha moyo wa mtu.Waliachana kisa mwanaume hawajibiki home full misele hawa vijana
Mkuu najua sana hiloo kuiba kwa siri ila nilikaa naye na kuzungumza within three month's up to now almost five month's inakimbilia Mimi nikamweleza ukweli huo kuwa nikijua tuu umeanza kuchepuka basi kila mtu na time yakeKwa hapo sitashangaa kuona mwanamke ana iba. Ogopa shida, shida humfanya mtu kukubali kila kitu lkn hamaanishi itabadilisha moyo wa mtu.
Aliyekuwa naye, akaenda kuolewa kisiri, akapata mtoto na baadae wakarudiana.
Watu wote wangekuwa km mtoa uzi, usaliti usingekuwepo.
Ila hongera kwa upendo wa dhati. Binadamu wote tungekuwa hivi hakika usaliti ktk mapenzi usingekuwepo.Mkuu najua sana hiloo kuiba kwa siri ila nilikaa naye na kuzungumza within three month's up to now almost five month's inakimbilia Mimi nikamweleza ukweli huo kuwa nikijua tuu umeanza kuchepuka basi kila mtu na time yake
Ndio mana mtoto wake nataka kumpeleka pre school mwakani Mungu akijaliaIla hongera kwa upendo wa dhati. Binadamu wote tungekuwa hivi hakika usaliti ktk mapenzi usingekuwepo.
Nakushauri, vitisho na ukali hamvimfanyi mtu kutokusaliti ila kuna wakati inasaidia.
Jenga mazingira yatakayomfanya asikusaliti, na muoneshe upendo wa kweli hii itamfanya hashindwe kukusaliti. Akikumbuka tu hata km yupo na mwanaume wa mtoto anahailisha na kuvaa nguo.
Hakuna kitu wanachomiss wanawake km upendo wa dhati na hii ndiyo fimbo ya kweli kwa mwanamke.
Safi.Mkuu sijamzuia mawasiliano mana hata saizi sikai naye nyumba moja yeye kwake na Mimi kwangu ila kwa masharti hayo tuu akiweza fresh