Maambikizi ya ukimwi

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
heshima yenu wakuu! nna swali la ufahamu juu ya maambukizo ya ukimwi ambalo ni: Je vifaa vya kunyolea saruni vinaambukiza ukimwi? nimekuwa, nimeona vinyozi wanaosha machine za kunyolea na vitana na spirit,je inamaana spirit inaua virusi vya ukimwi? me natumia mashine yangu binafsi. nawakilisha....
 
Virusi vya Ukimiw (VVU) haviwezi kuishi popte zaidi ya kwenye chembe chembe nyeupe za damu ya binadamu. Nje ya haya mazingira, haviwezi ku-survive. So majimaji au damu inayoingia kwenye kinyozea and the later rubbed on with spirit hufanya mazingira yasiyo condusive kwa VVU kuishi na kuwa infectious, That's why it is very difficult to have VVU transmitted through barber shops. Hata hivyo tambua kuwa spirit kama spirit haiui VVU

But again it is advisable kwamba at least half an hour lapse should ideally be observed between mteja mmoja na mwingine. HIV is not very efficiently transmitted ukilinganisha na virusi vingine kama vile Hepatitis
 
heshima yenu wakuu! nna swali la ufahamu juu ya maambukizo ya ukimwi ambalo ni: Je vifaa vya kunyolea saruni vinaambukiza ukimwi? nimekuwa, nimeona vinyozi wanaosha machine za kunyolea na vitana na spirit,je inamaana spirit inaua virusi vya ukimwi? me natumia mashine yangu binafsi. nawakilisha....

Itakuwa haiuwi, manake wajomba zetu wengine kutwa kucha wapo na chupa za konyagi na bado wana virusi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom