Maalumu kwa wanaume wanandoa


Naendelea kutafiti msingi wa Mungu kutufanya sisi wanaume tupewe cheo cha kuwaongoza nyie wanawake, majibu ya awali ni kuwa mwanamke ana hulka ya kutaka kutawala muda wote hivyo ilikuwa ni lazima kupewa mdhibiti wake, muache mke awe huru kupitiliza Kama hata ona mwituni ndio mbinguni
 
At last tupo kwenye same page ! Now we r even!
 
Ulikuwepo wakati Mungu anawapa cheo au ni story za abunuwasi ulizomezeshwa na wahenga, ndio mtuache jiongoze tunavotaka
 
Naamini wewe,
1.Utakuwa umri umeenda na hujaolewa
2.Umetendwa kwenye mahusiano kutokana na tabia zako
3.Hauna mahusiano yenye future
4.Umepoteza matumaini kuhusu ndoa
5.Umelelewa na mzazi mmoja hasa mama
 
Naamini wewe,
1.Utakuwa umri umeenda na hujaolewa
2.Umetendwa kwenye mahusiano kutokana na tabia zako
3.Hauna mahusiano yenye future
4.Umepoteza matumaini kuhusu ndoa
5.Umelelewa na mzazi mmoja hasa mama
Umri wangu Sasa hivi 53 are you happy now.
Na kweli nimetendwa na wanaume wire duniani including ur daddy.
Mahusiano yangu na vision ni kubwa kuliko kutegemea furaha ya mtu hata baba yangu mzazi sitegemei yeye anipe furaha sembuse watu liokutans nao wajinga wajinga hivi.
Umemaliza hayo maswali jibu hoja Sasa za msingi maana hapo huna jipya and don't forget I'm single mother...

Hafu unachekesha wewe uliyelelewa na wazazi wote mbona mjinga hivi akilini I'm sure huna hata feza ya kununulia bia wanaume pangu pakavu ni vinara wakutesa wanawake vile Wana stress za kukosa hela
 
Inategemea mahusiano yenu yameanzaje,kwa utafiti mdogo niliofanya ndoa nyingi ambazo kipindi cha uchumba/kujuana ni kifupi ndoa hizi huwa na hiyo changamoto sana ukilinganisha na wanandoa ambazo zimeanzia urafiki/uchumba ulikuwa wa mda mrefu(4-5 yrs) kumuacha au kumchoka mwenzako siyo rahisi kwa kuwa ameshakuwa sehemu ya maisha yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna comments humu nabaki tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 

Yes, najifunza kitu pengine tukipigika na maisha tunakuwa na vihasira hasara vya karibu, kutopuuzia vijimambo, na kukosa maamuzi sahihii kwa wakati, yeweza kweli pesa huleta stability kwenye maeneo muhimu, dunia ni pilipili ya asali
 
Naamini wewe,
1.Utakuwa umri umeenda na hujaolewa
2.Umetendwa kwenye mahusiano kutokana na tabia zako
3.Hauna mahusiano yenye future
4.Umepoteza matumaini kuhusu ndoa
5.Umelelewa na mzazi mmoja hasa mama

Mdau wewe Ni mtaalamu wa saikolojia au
 

Cariha would you suggest for a hybrid of thoughts in gender perspective, assuming uko married bcoz I don't know kukuhusu, what best marriage governing modalities would advocate for married couples
 
We mi nilishaanza kukuelewa tangu mwanzo ulianza vizuri ila hapo kati kuna wanaume wenzio wakaja wakakuchanganya wakakutoa nje ya reli ukawa haueleweki unachosimamia
Kina nyenyere hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna comments humu nabaki tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilisoma huu Uzi usiku wa manane
Imagine hali niliyokuwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kina nyenyere hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa yako ndiyo kabisa sijataka hata kumquote kwenye huu uzi, maana nahisi comments saa hii zingekuwa mara kumi ya hizi zilizopo. [emoji23][emoji23]

Teh we kama unataka mtanange naye then he's all yours [emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa yako ndiyo kabisa sijataka hata kumquote kwenye huu uzi, maana nahisi comments saa hii zingekuwa mara kumi ya hizi zilizopo. [emoji23][emoji23]

Teh we kama unataka mtanange naye then he's all yours [emoji1787][emoji1787]
Sasa yule Ndiye amemtoa huyu nje ya reli

Yule Sina ushujaa wa kubishana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hachoki yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule unamuweza wewe na Huyo dada Cariha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora nyenyere hivi umesoma comments za huyo choice variable

Hapana aise yule mwenyewe simuwezi labda cariha ndiyo anamuweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…