jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,381 Reaction score 25,476 Jul 9, 2014 #81 Tarime one said: Thanx nimemtumia ujumbe hivyo2 now nasubiri atasemaje. Click to expand... Mkuu sasa kama ni mchepuko si ndiyo maana yake ili asishtukiwe? Daah! Mwizi wa mali za watu halafu unataka uwekwe jina lako? Unajuwa mwanzoni nilidhani wewe ndo ke, maana cjakuelewa.Ni yeye anayechepuka, wewe, ama wote? Ebu sema wewe, ulitaka aweke jina gani ambalo halitashtukiwa endapo ni yeye amechepuka? Kama ni wewe ndo mchepukaji, basi chunguza sana, pengine ni wote mnachepuka!
Tarime one said: Thanx nimemtumia ujumbe hivyo2 now nasubiri atasemaje. Click to expand... Mkuu sasa kama ni mchepuko si ndiyo maana yake ili asishtukiwe? Daah! Mwizi wa mali za watu halafu unataka uwekwe jina lako? Unajuwa mwanzoni nilidhani wewe ndo ke, maana cjakuelewa.Ni yeye anayechepuka, wewe, ama wote? Ebu sema wewe, ulitaka aweke jina gani ambalo halitashtukiwa endapo ni yeye amechepuka? Kama ni wewe ndo mchepukaji, basi chunguza sana, pengine ni wote mnachepuka!
Gwesefe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 682 Reaction score 382 Jul 9, 2014 #82 Ndigwa said: unachomfanyia mwenzio amefananisha kama unazibua choo. Ameona unamzibua vizuri ndio maana akakupa jina la hilo. Click to expand... ha ha haaaa unamaanisha ameseviwa sawasaw na anachomfanyia kwa bed
Ndigwa said: unachomfanyia mwenzio amefananisha kama unazibua choo. Ameona unamzibua vizuri ndio maana akakupa jina la hilo. Click to expand... ha ha haaaa unamaanisha ameseviwa sawasaw na anachomfanyia kwa bed
Tarime one JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 2,246 Reaction score 1,742 Jul 9, 2014 Thread starter #83 Me mura original but kimjinimjini siwezi siwezi kufanya yale ya kwetu nimempotezea.
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Jul 9, 2014 #84 Umesaviwa Kaguguu nini?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,449 Reaction score 17,918 Jul 9, 2014 #85 Fundi? Then mzibua vyoo? Akamalizia no. 2? Dah! Bora angesev tu fundi! Btw, total cost ya ku-handle mchepuko inaweza inua chumba na sebule kabisa! Remember your mom in all days of your life...
Fundi? Then mzibua vyoo? Akamalizia no. 2? Dah! Bora angesev tu fundi! Btw, total cost ya ku-handle mchepuko inaweza inua chumba na sebule kabisa! Remember your mom in all days of your life...
Gunda66 JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 516 Reaction score 312 Jul 9, 2014 #86 Tarime one said: Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari. Click to expand... Alaf nshatambua kaa ukijua kulikuwa na "FUNDI MZIBUA VYOO 1"
Tarime one said: Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari. Click to expand... Alaf nshatambua kaa ukijua kulikuwa na "FUNDI MZIBUA VYOO 1"