A-level hawezi kwenda sioni combination ya Art wala Science.Kama alivyoshauri mdau mwambie aombe chuo.Kuna tatizo naliona kwa wazazi/walezi,nk kwa hawa watoto..Mm kwenye familia yangu ndiye nilikuwa wa kwanza kwenda secondary nilikuwa sina mtu mbele wa kuniguide;soma hivi,comb ziko hivi au vyuo viko vile nk.Kama kuna wazazi/walezi anbao wana uelewa haya masuala tuwasaidie hawa watoto mfano mtoto anakwambia mimi masomo ya Sayansi siyawezi mwambie akomae na History,Geography,English,Kiswahili.Matokeo yatakujs History-C,Geography-B,English B-,Kiswahili,B Physics F,Chem F, Bio F B/Math F,Commerce F,B/keeping F.Huyu mtoto anaenda Form five HGL. Siyo solution ila inasaidiaAmesoma ana D mkuu