Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Amesoma ana D mkuu
A-level hawezi kwenda sioni combination ya Art wala Science.Kama alivyoshauri mdau mwambie aombe chuo.Kuna tatizo naliona kwa wazazi/walezi,nk kwa hawa watoto..Mm kwenye familia yangu ndiye nilikuwa wa kwanza kwenda secondary nilikuwa sina mtu mbele wa kuniguide;soma hivi,comb ziko hivi au vyuo viko vile nk.Kama kuna wazazi/walezi anbao wana uelewa haya masuala tuwasaidie hawa watoto mfano mtoto anakwambia mimi masomo ya Sayansi siyawezi mwambie akomae na History,Geography,English,Kiswahili.Matokeo yatakujs History-C,Geography-B,English B-,Kiswahili,B Physics F,Chem F, Bio F B/Math F,Commerce F,B/keeping F.Huyu mtoto anaenda Form five HGL. Siyo solution ila inasaidia
 
Civ C, Hist D, Kisw C, Eng C, Eng L C, Geg D, Chem F, Bio D, Phy F, Math D. Course Gan inamfaa kwenye hizi middle college s
 
Lazima wamchukue kwa HKL lakini nashauri apige Nursing aachane na Form 5 kama lengo lake anataka kuwa Mwl. maana walimu wa Arts wamejaa na mkopo wamewatoa haipo katika kozi za kipaumbele. Apige Nursing ndo mpango atajiendeleza huko huko maana matokeo ni mazuri na uhakika wa ajira upo na maombi wameshaanza kutuma.
Form za maombi zinapatikana online ? Au hadi uende chuo
 
Mkuu mapacha wangu wamepata point 22na 23
Mkubwa civic C,history C,Geo C,kiswa C,English B,chemistry D,biology D,physics F,mathematic D

Mdogo kapata CV c,hist c,Geo d,kiswa c,English c,chemical D,bio c,maths D,phy F
Kwa matokeo haya wanaweza end a Vp,na ni wapi sahihi panapowastahi kulingana na matokeo hayo

Kama nilivyomshauri mwenzie hapo juu, hata wao wanaweza kabisa including Pharmacy ngazi ya cheti. Apply NACTE, inawezekana nafasi ni chache kwenye vyuo vya serikali lakini pia kuna vya kidini. Kurudia Physics ni option lkn nasikia siku hizi lazima urudie masomo yote eti, ingawa sina uhakika.

Pia course za Arts A-Level like HGL na HKL huyo wa Kwanza, na HKL huyo wa pili, ingawa nafikiri unaona jinsi ajira ilivyongumu katika Nyanza hizo kwa hiyo lazima uangalie pande zote na kuongea nao pia. Ni wa kike ama wa kiume?
 
Private ukiwa na C 2 mbona poa 2 but izo credit zako ziwa kama iv
may be HIST C, KISW C, ENG D na maxomo mengne D
Mkuu mi nimekuelewa je kama ana hizo C mbil afu ana four ya 27 anaweza kwenda
 
Samahan wakubwa zangu kikawaida tunapomaliza mtihan wa mwisho kidato cha nne uwa tunajaza comb na shule ambazo unaweza kuchaguliwa je necta uwa wanazingatia hayo katika kumpangia shule mwanafunzi katika zile shule alizochagua au vp mana nasikia kuna wengine uwa wanapangiwa shule ambazo hawakuchagua je hii ni kweli au vp na kama ni kweli kwann wanafanya hivyo kumchagulia mtu shule ambayo hakujaza....?
 
Ndiyo. Chaguzi za wanafunzi huzingatiwa. Labda itokee shule uliyochagua imejaa, utapelekwa shule nyingine au kombi nyingine.
 
Samahan wakubwa zangu kikawaida tunapomaliza mtihan wa mwisho kidato cha nne uwa tunajaza comb na shule ambazo unaweza kuchaguliwa je necta uwa wanazingatia hayo katika kumpangia shule mwanafunzi katika zile shule alizochagua au vp mana nasikia kuna wengine uwa wanapangiwa shule ambazo hawakuchagua je hii ni kweli au vp na kama ni kweli kwann wanafanya hivyo kumchagulia mtu shule ambayo hakujaza....?
Kwanza NECTA hawahusiki kukupangia shule

Wanaohusika ni wizara ya nchi ofisi ya waziri mkuu kupitia TAMISEMI ndo wanahusika kupanga shule na combinations
Na shule hupangwa kuto kana na competition iliyopo na nafasi zilizopo kamwe hawafuati sijui we unataka shule gani maake wangefanya hivyo shule kama ILBORU zingefurika
 
Back
Top Bottom