Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Habari zenu wakuu,
Mdogo wangu amemaliza formfour mwaka jana na kupata matokeo haya.
Hapo kwenye hesabu bahati mbaya amepata F.
21
II
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' B/KNOWL - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F


Alikuwa anapenda sana kuwa daktari, Je kwa grades hizi PCB anaweza kuingia? Kama haiwezekani, vipi kuhusu option ya diploma ya Clinical medicine wanaweza kumkubali au kuna option nyngine ya maswala ya afya anaweza akafit?
Naomba ushauri wenu wakuu
 
Matokeo yake ya Form four mwaka 2016 Civics - 'C' History - 'C' Geography - 'C' Kiswahili - 'B' English Language - 'B' Physics - 'D' Chemistry - 'C' Biology - 'C' B/Maths - 'F'
 
NAOMBENI USHAURI KWA UFAULU HUU WA KIDATO CHA NNE.

CIVICS-D
GEOGRAPHY-D
HISTORY-F
ENGLISH-D
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
KISWAHILI-D
B/KEEPING-D
COMMERCE-D

DIVISION IV YA POINT 26.
NAWEZA KUFANYA KITU KIPI IKIWA BADO NAMILIKI CHETI CHA UALIMU GRADE IIIA KULINGANA NA USUMBUFU WA AJIRA NAWEZA KUFANYA NINI AU KUSOMA COURSE ZIPI FUPI KWA MUDA HUU
 
NAOMBENI USHAURI KWA UFAULU HUU WA KIDATO CHA NNE.

CIVICS-D
GEOGRAPHY-D
HISTORY-F
ENGLISH-D
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
KISWAHILI-D
B/KEEPING-D
COMMERCE-D

DIVISION IV YA POINT 26.
NAWEZA KUFANYA KITU KIPI IKIWA BADO NAMILIKI CHETI CHA UALIMU GRADE IIIA KULINGANA NA USUMBUFU WA AJIRA NAWEZA KUFANYA NINI AU KUSOMA COURSE ZIPI FUPI KWA MUDA HUU
Kwa iv ya 26 uliweza kusomea ualimu??????........!!!!! ni chuo gani wanachukua????
 
Back
Top Bottom