Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

HKL/HGL/HGE (ila economics na geography ina hesabu kali kali) yapasa kujiridhisha na kujinoa kwa tuition za hapa na pale. maaana mengine ya kibabe kama pcm, pcb, pgm ni moto mbaya kwa viwango hivyo. **huyo ni muhali kusailiwa form v moja kwa mojam itambidi apoteze mwaka mmoja kwanza kujifua arekebishe D mbili lau zipande kupata C au B au asome kidato cha v wakati huohuo akisoma marudio ya csee. sikushauri kumpaisha kidato cha tano hata kwa mlango wa nyuma. shule nyingi zitampokea kuongeza mapato, utasaga pesa kichwa hakitakuwa katika nafasi nzuri ya ushindani. kila la heri
Mkuu, kwa ufaulu huu atasoma A-level huku anajiandaa kurudia mitihani ili awe na C walau 3. Aongee naye ili mtoto aseme anapenda asomee nini
 
Mkuu, kwa ufaulu huu atasoma A-level huku anajiandaa kurudia mitihani ili awe na C walau 3. Aongee naye ili mtoto aseme anapenda asomee nini
Kumbe alikosea namba, amepata Div 3 ya pts 24 as follows:-

CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'F' COMM - 'D' B/KEEPING - 'D'
 
Kumbe alikosea namba, amepata Div 3 ya pts 24 as follows:-

CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'F' COMM - 'D' B/KEEPING - 'D'
Duh, pole yake kwa presha aliyoipata. Ataweza kusoma A-level HKL ingawa baadhi ya private schools huwa wanataka combination iwe ime balance.
Kama ni ke anaweza pata post A-level HKL kutokana na kushuka kwa ufaulu. Pata mtazamo wake kwanza. Hongera zake amejitahidi.
 
Thanks Kiongozi, kishalia huko nje mpaka amechanganyikiwa. Baadae kabisa ndo akaenda ndani kuangalia namba yake na kujana hiyo mpya. Tunamshukuru Mungu kwa matokeo haya pia, si haba.
 
Ushauri mwingine nilioupata na huu
Itegemee anachokwenda kusomea. Kuna watu wamesomea procurement and supplies wakati wana f maths. TCU sijui NACTE watatoa sifa za waombaji kwenye course zinazotolewa kwenye vyuo mbalimbali.
Jambo la msingi ana pass zaidi ya 5. Akili ikitulia kila kitu kitakaa sawa. Atulize akili aamue anataka kusoma nini ili mmpatie ushauri kulingana na hali halisi ya maisha na ufaulu wake
 
Thanks, noted kwa ushauri kiongozi.
 
Ndugu habarini za saa hizi. Naamini kama hauna mtoto basi yupo mdogo wako au ndugu yako aliyepata matokeo ya kidato cha 4 leo.
Binafsi nina mdogo wangu kiukweli kazingua, hapa nashindwa kuelewa nifanye nini. Humu najua kuna watu wanauelewa mpana saana kwenye masuala ya elimu lakini pia kuna wamiliki wa vyuo. Hivyo ushauri wako unatakiwa kwa hawa wadogo zetu wenye matokeo yanayotia wasiwasi.

Naomba mnishauri nimpleke wapi huyu. Ana IV 32
Ni KE
HIST F
KISW D
CIV F
BIO F
MATH F
GEO D
ENG D
Asanteni saana.
 
Back
Top Bottom