Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Form five haiwezekan hana c tatu,mpeleke certificate au arisiti(kazi kubwa kweli)
Ili kutokumpotezea muda na ku-save resources , hiyo option ya Chuo ndio itakuwa muafaka.Nakushukuru kwa Muongozo wako kiongozi.
 
Chuo pale T.I.A au cbe kulingana na masomo aliyochagua shule, ila msikilize na yeye pengine angependa kurudi form two mkuu!
 
HKL/HGL/HGE (ila economics na geography ina hesabu kali kali) yapasa kujiridhisha na kujinoa kwa tuition za hapa na pale. maaana mengine ya kibabe kama pcm, pcb, pgm ni moto mbaya kwa viwango hivyo. **huyo ni muhali kusailiwa form v moja kwa mojam itambidi apoteze mwaka mmoja kwanza kujifua arekebishe D mbili lau zipande kupata C au B au asome kidato cha v wakati huohuo akisoma marudio ya csee. sikushauri kumpaisha kidato cha tano hata kwa mlango wa nyuma. shule nyingi zitampokea kuongeza mapato, utasaga pesa kichwa hakitakuwa katika nafasi nzuri ya ushindani. kila la heri

Ntajribu kuongea naye ili aweze kunipa mawazo yake. Thank you very Much Kiongozi
 
Unaweza mpeleka advance lakini anakuwa anarisiti masomo ambayo anayoyasoma pia anakuwa anauwanja mkubwa wa kujieleza maana anasoma kwa kina kama HGK,HGL,HKL etc
 
Back
Top Bottom