mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
Huu uzi nimeuanzisha kwa lengo la kukutana wale tuliosoma chuo cha ualimu Vikindu au wanaoendelea kusoma pale chuo.
Uzi huu ni mahsusi kwa kusaidia juu ya changamoto mbali mbali .
Kujulishana mambo yanayo zidi endelea pale VTC.
Mnakaribishwa wote toka wale wa enzi
za UBUGUYU mpaka MAMa AMINA ToU ...[emoji267] [emoji267] [emoji536] [emoji267] [emoji267]