stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Habari wandugu wa jukwaa hili.
Wajameni nimeambiwa na kusikia tabia walizonazo wanaume wengi waliolelewa na mzazi mmoja hasa Mama.
Kuwa ni wanaume wanaojali na kuthamini wake zao japo sijathibitisha hili.
Wengi wao nimegundua ni watu wakudeka sana, wapo legelege sio wakamavu pia wanasumbuliwa na tabia ya kununa kuna.
Hili nimelithibitisha hata kwa mashemeji zangu.
Naomba nilete hili mezani tuchangie kwa pamoja nifahamu nisiyoyajua mengine.
Asanteni