maalim seif anaota au yaan serikali ya muungano ipate raisi kutoka zanzibar kivipi wanataka waitawale zanzibar na tanganyika kwa wakati mmoja kwan zanzibar ina serikali yake raisi makamu wa raisi na ngazi zote za kiserikali lakn tanzania bara iliobeba jina la muungano ina rais na makamo wa rais kutoka zanzbar na ngaz nyingi za uongoz ni tunashare hii iko vp bwana yaan zanzbar nchi ndogo ila inatoa viongoz wengi kiasi hiki?? wale wanaotawala zanzbar yenyewe bila kuingiliwa na viongoz wa bala na wengine wanatawala bara huu upuzii tumeuchoka na cc tunataka tanganyika yetu ili tuwe na viongoz wetu kama vile zanzbar ilivyo kama ni kushare tutashare kwenye shirikisho hakuna muungano bila tanganyika tumeechoka bwana yaan zanzbar hata hailingan na mza lakn ndio inatawala tanzania kwa wingi wa viongoz wakati zanzbar kwao hawatoi nafas za uongoz kwa watu wa baraa??tumechoka na usheenz huu tunaitaka tanganyika yetu ukawa leteni maandamano haki hailetwi inatafutwa tuko tayari kufa kwa ajili ya tanganyka yetu....
Nyinyi kama mtarudia Tanganyika yenu sawa, lakini haiwezekani Muungano uwe wa pamoja rais miaka yote atoke bara ni sahihi kabisa sasa Rais atoke Zanzibar, nyinyi mtapata waziri Mkuu ndio kiongozi wenu atakayeiwakilisha bara