wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
Miaka ya hali ya kisiasa Zanzibar yachafuka uliwashawishi rais Jumbe na waziri kiongozi Faki kutaka serikali tatu wakashawishika kukatokea vurugu ya kisiasa Zanzibar.
Rais Nyerere akakemea sana ikabidi upewe wewe Seif kuwa waziri kiongozi na Ali Hassani Mwinyi kuwa rais wa Zanzibar.
Mwaka kuelekea uchaguzi wa 2010 mkafikia muafaka wa kuweka serikali ya mseto ukashawishi warekebishe katiba ya Zanzibar kuwa masuala ya kisiasa ya uchaguzi yashughulikiwe na wazanzibar wenyewe na kutaka ZEC iwe ya mseto.
Leo tunashangaa baada ya kufutwa matokeo ya Zanzibar mnataka eti serikali ya muungano waingilie matatizo ya uchaguzi Zanzibar.
Maalim Seif hesabu zako kwa kutaka kutawala Zanzibar bado zinafeli.