Sasa kinachoshindikana nini vunjeni hata kesho...tena sasa rahisi kweli maana serikalini smz mpo nusu kwa nusu....vunjeni hata sasa unajua mnashangaza sana... muungano wa mkataba wa kazi ganiSiku itafika Muungano utavunjika tu, sio kwasababu ya Maalim Seif bali wazanzibari walio wengi wamechoshwa na usanii wenu. Maalim Seif ni mtu mmoja, akiwepo asiwepo harakati za ukombozi zitaendelea mpaka kieleweke.
Kasumba za Nyerere ndio zinawasumbua...
kwa hiyo muungano usivunjweKwa namna moja au nyengine nchi zinategemeana, mataifa yanategemeana . Tatizo mamlaka (MAAMUZI) ya Zanzibar , tunataka yaamliwe na waZNZ wenyewe na sio vingunge kutoka Tanganyika.
Vunjeni basi Muungano........who cares.!!!Jamani musipotoshe umma,sisi wazanzibar sio wabinafsi bali nyinyi tanganyika munatudhulumu ndio maana tunataka kupumua. Kabla ya kuwepo muungano znz ilikuwa ni taifa huru lenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa lakini baada ya muungano znz ilipoteza mamlaka yake yote na tanganyika kubaki kuwa huru na mamlaka yake kwasababu serikali ya tanganyika ndio hiyo hiyo ya muungano. Serikali ya muungano inashughulikia mambo ya muungano na tanganyika.
Sichukii Seif kusema hivyo ila namuona MNAFIKI sababu kama yeye anataka Zanzibar kamili ARUSHA ANAFATA NINI?? BARA ANAFATA NN si akae Zanzibar afanye mikutano yake akitoka Unguja aende Pemba unajua kuna Maalim kaishiwa SERA NAMANISHA CUF(UHAMSHO) hawana sera za kuiteka Zanzibar kutoka kwenye CCM ndomana hawana cha kusema zaidi ya MUUNGANO CUF wamekosa cha kuwaambia Wananchi Zanzibar wanakazi zanzibar ikiwa nje ya MUUNGANO ITAKUWA NA MAENDELEO hapo hapo SEIF anasema MUUNGANO WA MKATABA KISHA ANASEMA MUUNGANO WA SERIKALI 3 UTAGUNDUA kuwa Muungano wanautaka lakin nasema Wabongo hatuna shida na MUUNGANO RASIMALI TUNAZO ARDHI TUNAYO...MADINI TUNAYO,MAFUTA TUNAYO TENA KILA MKOA WA BARA UNAMADINI EWE MZANZIBAR BARA HATUISHI SABABU YAKO WW
HIKI NI KILIO CHA WAPEMBA
Wapemba wanaona Muungano unawanufaisha UNGUJA kuliko waao na 7bu Unguja iko juu kuliko Pemba kwa uzuri wa Majengo mpaka wingi wa WATU NA maendeleo kiujumla lakini kuna mambo ypo nature UNGUJA ILIVYOUMBWA NA muumbaji na ZANZIBAR IPO UNGUJA RAIS yupo UNGUJA baraza la Wawakilishi lipo UNGUJA KILA kitu UNGUJA wapemba wanamini NJE YA MUUNGANO wataweza kuitawala Unguja na nafasi nyingi kushika wao na kuweza kuleta mahusino mazuri na Warabu lakini Mfalme wa OMAN kipindi cha vurugu za UHAMSHO akasema kuwa ZNZ isitegemee OMAN kwani hatousika na chochote na znz mambo ya Ukoloni yalkuwa zamani na sasa itajitegemea yenyewe mpo jaman...90% CUR(UHAMSHO) NI WAPEMBA wanayachukia sana MAPINDUZI 1964 kwani walipinduliwa wao so wanauchungu na kuitawala UNGUJA na WATU WA UNGUJA wanajua hilo ndomana Uhamsho walpofanya Tasmini ya wanaotaka na wasiotaka MUUNGANO walishangaa kuona wanaotaka ni wengi kuliko wasiotaka swali Inamaana kelele zile HATUTAKI MUUNGANO WALIKUWA WANATUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA uhamsho walfanya wenyewe na wakatulia wenyewe
CUF (UHAMSHO) DHIDI YA CCM
CUF wamejitahidi kutaka Urais lakini wameshindwa na wamemaliza SERA visiwani wakaamua kuanzisha JUMUIYA YA WASIASA NA MIHADHARA YA KISLAM nmeita hivi sababu ni Nyuma ya pazia na huu ndo ukweli CUF wakaunda chombo kingne lakini pia wanachemka CUF wakaona wakifanikiwa kuitoa CCM kwa njia ya VURUGU ZANZIBAR basi watafanikiwa kuitawala Zanzibar lakini mbio zao zinangonga mwamba SEIF hana sera nasema na MNAFIKI DHAIRI KAMA KWELI HAUTAKI MUUNGANO ASIKUBALI KUWA KATIKA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA CHINI YA CCM MBONA ANAKAA SEIF NI MTAPA TAPA NA MAJI ALISHWAMBIA WANANCHI YEYE AKINGIA MADARAKANI BASI MAPEMBE BASI NA KAINGIA MADARAKANI NA BADO ZANZIBAR TUNAKULA MCHELE WA MAPEMBE UTAGUNDUA SEIF ANAUCHU NA MADARAKA NA WATU WASHAMCHOKA HANA JIPYA CUF WASIMAMISHE JEMBE LINGINE