Tatizo Maalim anafikiri yeye ni smart sana. Sasa kama kweli yeye ni mwanaume na haumi maneno, aseme maneno mawili tu - "Vunja Muungano".
Siku itafika Muungano utavunjika tu, sio kwasababu ya Maalim Seif bali wazanzibari walio wengi wamechoshwa na usanii wenu. Maalim Seif ni mtu mmoja, akiwepo asiwepo harakati za ukombozi zitaendelea mpaka kieleweke.
Kasumba za Nyerere ndio zinawasumbua...
Nyerere is the one who thought, he was the smartest man in Tanzania. He brain washed most of you...What happened ? kaondoka yeye Zanzibar ameiyacha . Sasa nongwa zenu hazitabadilisha kitu. Time to accept reality .
Haya sasa mnarukia Mwl Nyerere. takashi, semeni tunavunja muungano. Kelele za nini bana? Vunja muungano ili u-enjoy your country yenye milk and honey!
Kama mimi Takashi , ningekuwa na uwezo wa kuvunja Muungano , basi usikuu huu ningefanya hivyo. Tumeng'amua utapeli wenu sasa mnafanya nongwa.
Maalim Seif na wanzanzibari wengi nao hawawezi?
1. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kusema hawamtambui makamu wa rais (kwa sasa Dr Bilal)? au wanapiga mahesabu ya zile 32bn za kuendeleza Zanzibar?
2. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kuwaambia wabunge toka zanzibar ni marufuku kukanyaga Dodoma?
3. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kuandaa muswaada na kuupeleka BLW ili process ya kuvunja muungano ianze mapema?
NB: Maalim Seif ni makamu wa kwanza wa rais. Na kumbuka muungano wa sasa ni wa mkataba, hivyo kabla ya ku-sign mkataba mwingine inabidi huu wa sasa muuvunje.
Yeye ndio alikuja kuomba Muungano na uwongo wake . Kama mimi Takashi , nengekuwa na uwezo wa kuvunja Muungano , basi usikuu huu ningefanya hivyo. Tumeng'amua utapeli wenu sasa mnafanya nongwa.
Nikisema huna busara sijakutukana, kufaidika na MUUNGANO mnafaidika ninyi huku bara hatufaidiki nao, leo mnapiga kelele ninyi za kuvunja muungano, halafu wewe unamlalamikia NYERERE KWANINI ASIWE KARUME ambaye alikubaliana na mawazo ya MWALIMU? ila unamuona MWL.Siku itafika Muungano utavunjika tu, sio kwasababu ya Maalim Seif bali wazanzibari walio wengi wamechoshwa na usanii wenu. Maalim Seif ni mtu mmoja, akiwepo asiwepo harakati za ukombozi zitaendelea mpaka kieleweke.
Kasumba za Nyerere ndio zinawasumbua...
Kwa mtazamo wangu mimi , Muungano ni kama ugonjwa sugu, kwahiyo hata dozi ya dawa inakuwa ya muda mrefu. Sio muda mrefu dozi itakamilika...
Nikisema huna busara sijakutukana, kufaidika na MUUNGANO mnafaidika ninyi huku bara hatufaidiki nao, leo mnapiga kelele ninyi za kuvunja muungano, halafu wewe unamlalamikia NYERERE KWANINI ASIWE KARUME ambaye alikubaliana na mawazo ya MWALIMU? ila unamuona MWL.
Hivi unafahamu hatuwezi kuwa na MUUNGANO wa mkataba bila kwanza kuvunja huu uliopo?
au unajisemea tu ili kupisha siku
Mimi sio mwanachama wa CUF, in fact, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa . Agenda za CUF ,CCM au CHADEMA mimi sizieliwi. Maalim Seif , sio rais wa Zanzibar ni makamo wa rais kwa maana maamuzi ya mwisho ya serikali hayoko juu yake.Wakati wa campaign 2010 Maalim Seif alikuwa anaahidi Zanzibar ya maziwa na asali. Alikuwa na ahadi nyingi sana na nyingine zilikuwa zitekelezwe ndani ya siku 100! Zanzibar ilitakiwa iwe kama Singapore kwasasa! Unaweza kuniambia amefanya nini? Mambo ya Muungano wa mkataba hayakuwa kwenye ajenda ya Maalim wakati wa campaign.
Takashi,
Jaribu kuwa na lugha ya staha mkuu. Utaharibu jukwaa kwa lugha ya kuudhi. Litake radhi taifa na ujitake radhi mwenyewe kwa maneno ya kuudhi uliyoyatumia kwenye mchango wako huu.
Muungano unafaida na vile vile una hasasra . Sisi tumepima faida na hasara na jibu ni kwamba hasara ni kubwa ambayo Zanzibar inapata kama nchi...Hatuwezi kuuza nchi yetu, eti kwasababu kuna waznz wanaishi Tanaganyiaka.
maneno ya busara! nakuomba uwashauri wananchi na watawala wenu mvunje muungano ili muweze kupumua na kujipatia hayo maendeleo bila kuitegemea Tanganyika!