Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Nadhani nimempata Mchungaji, kuwa Maalimu atakuwa na jukumu la kukata utepe kwa kutumia mikasi
kufungua majengo mapya, barabara, shule za chekechea, nk,
labda kama kuna FUmbo
Tamaa yao CUF hiyo, sasa wamejimaliza wenyewe!Alright. sasa nimeelewa.
So0 atakuwa sio mtendaji wala hana sauti wala umaarufu kama waziri kiongozi!
Ndo mwafaka wenyewe huo.
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.
I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.
Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!
bila shaka, kazi yake haitakuwa tofauti na ya makamo wa rais wa jamhuri ya muungano, na yeye ni mikasi tu!!!, pale siasa imepita, hakuna sababu ya kuwa makamo 2 katika visiwa vidogo kama vile.
ndio maana yake, yaani hata bungeni (Baraza la wawakilishi) hana sauti kwani kule mtendaji mkuu ni waziri kiongoziAlright. sasa nimeelewa.
So0 atakuwa sio mtendaji wala hana sauti wala umaarufu kama waziri kiongozi!
Ndo mwafaka wenyewe huo.
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.
I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.
Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!
Wel said Bro! Namshangaa ADAM K. MALIMA kwa nini hataki kumuenzi MZAZI wake na NRA. Mzee wali MKOLIMBA wakati akijiandaa kugombea URAISI kwa NRA.cuf kwishnei. Wale mashabiki wa cuf bara nawashauri warudi nra, ndio chama chao cha asili.
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.
I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.
Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!
Mchungaji kumbuka karibia nusu ya Cabinet ni watu wa CUF, labda kama unaangalia kwa mtazamo wa Maalim Seif yeye binafsi.
Hivi Katiba ya Muungano ilibadilishwa au kufanyiwa marekebisho ili kuwepo na Cheo cha Makamu wa Rais wa Kwanza na wa Pili Zanzibar?