Maalim Seif: The New Mzee wa Mikasi

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.

I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.

Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!
 
Nadhani nimempata Mchungaji, kuwa Maalimu atakuwa na jukumu la kukata utepe kwa kutumia mikasi
kufungua majengo mapya, barabara, shule za chekechea, nk,

labda kama kuna FUmbo
 
Alright. sasa nimeelewa.
So0 atakuwa sio mtendaji wala hana sauti wala umaarufu kama waziri kiongozi!
Ndo mwafaka wenyewe huo.
 
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.

I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.

Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!

mkuu hapo CUF walichemka kwani hawana tena nguvu ya kuikabili serikali kiutendaji.
ukija baraza la uwakilishi 2nd VP ,serikali kuu mwenyewe Dkt.

wao ni mikasi tuuuuuuuuuuuuu!
 
Bila shaka, kazi yake haitakuwa tofauti na ya Makamo wa rais wa Jamhuri ya Muungano, na yeye ni mikasi tu!!!, pale siasa imepita, hakuna sababu ya kuwa makamo 2 katika visiwa vidogo kama vile.
 
bila shaka, kazi yake haitakuwa tofauti na ya makamo wa rais wa jamhuri ya muungano, na yeye ni mikasi tu!!!, pale siasa imepita, hakuna sababu ya kuwa makamo 2 katika visiwa vidogo kama vile.

cuf kwishnei. Wale mashabiki wa cuf bara nawashauri warudi nra, ndio chama chao cha asili.
 
Alright. sasa nimeelewa.
So0 atakuwa sio mtendaji wala hana sauti wala umaarufu kama waziri kiongozi!
Ndo mwafaka wenyewe huo.
ndio maana yake, yaani hata bungeni (Baraza la wawakilishi) hana sauti kwani kule mtendaji mkuu ni waziri kiongozi
 
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.

I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.

Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!

Hii iko wazi. Jamaa ni kama vile atafungiwa na hakuna la maana atakolopewa kufanya. CCM nawaaminia kwa mikakati, in short CUF :israel:
 
Hii inanikumbusha namna walivyoanzisha muafaka. Mwanzo ilikuwa kati ya CCM na CUF. Baadae ikawa CCM< na wapinzani. Nguvu ya CUF ikaishia hapo na leo Seif anaonekana machoni pa wengi kama kiongozi mpiganaji aliyeilazimisha CCM kuunda serekali ya umoja wa kitaifa. Nafasi yake kiutendaji na kimkakati, hasa kwa CUF imekwisha wakati wana CUF wakishangilia. Utaon hata CUF bara imepoa kama maji ya mtungi. Hawana cha kusema maana tayari brother yupo poa Zanzibar
 
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.

I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.

Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!

Mchungaji kumbuka karibia nusu ya Cabinet ni watu wa CUF, labda kama unaangalia kwa mtazamo wa Maalim Seif yeye binafsi.
 
Waziri si nateuliwa na rais? akileta za kuletwa anatimuliwa na akuwa replaced an mwana CCM. CUF wameula wa chuya....Maalim Seif hana sauti Zanziba hata chembe, si kiongozi mkuu wa nchi wala si kiongozi wa serikali bungeni(barazani). Yaani kaahidiwa mshahara basi kwishenea!
 
Hivi Katiba ya Muungano ilibadilishwa au kufanyiwa marekebisho ili kuwepo na Cheo cha Makamu wa Rais wa Kwanza na wa Pili Zanzibar?
 
Baada ya kujua duties za makamo wa kwanza na wa pili, nikasema CUF wamejimaliza... Atakata tepe kwa sana!!!!:smile-big:
 
Hivi Katiba ya Muungano ilibadilishwa au kufanyiwa marekebisho ili kuwepo na Cheo cha Makamu wa Rais wa Kwanza na wa Pili Zanzibar?

Katiba iliyofanyiwa mabadiliko ni ya ZNZ tu, ambayo iliingiza vyeo vya makamu wa kwanza na wa pili, halafu ikaua waziri kiongozi; kazi za waziri kiongozi zikachukuliwa na makamu wa pili; pia wakabadili definition ya ZNZ; kuwa ni mipaka ya visiwa vya unguja na pemba na kuondoa ile iliyokuwa inaijumuisha kuwa sehemu ya bara!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom