kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 122
- 22
Katiba iliyofanyiwa mabadiliko ni ya ZNZ tu, ambayo iliingiza vyeo vya makamu wa kwanza na wa pili, halafu ikaua waziri kiongozi; kazi za waziri kiongozi zikachukuliwa na makamu wa pili; pia wakabadili definition ya ZNZ; kuwa ni mipaka ya visiwa vya unguja na pemba na kuondoa ile iliyokuwa inaijumuisha kuwa sehemu ya bara!!
Du! CUF imekula kwao, waufinyu wao wa mawazo wanataka waungane na chama cha waona mbali CHADEMA kwa upuuzi huo? Lol! Haiwezekani.:israel: