Hujuma ya ccm kwa maalim seif sharif hamad, alishinda znz ccm walipora ushindi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujuma ya ccm kwa maalim seif sharif hamad, alishinda znz ccm walipora ushindi wake

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by George Maige Nhigula Jr., Nov 7, 2010.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana JF,

  Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa karibu wa maalimu Seif Sharif Hammad ambae anaitwa Mr Ismail Jussa Ladhu kama ilivyo andika kwenye facebook page yake hapa chini.  Ismail's Profile
  • [​IMG] Ismail Jussa
   I am so proud of my leader, the great Maalim Seif Sharif Hamad. Knowing fully well that he won the presidential election, yet he sacrificed everything for the interests of his country and his people. He has been acknowledged and praised by many, including international observers and ambassadors who I had a chance to speak to for his courage and selflessness, which are rare qualities among African leaders.
    • [​IMG] Ismail Jussa One day I will have a chance to speak of the great story of how this great son of Zanzibar saved his country from an imminent bloodshed even if his decision costed him his victory. Again Maalim Seif we are so proud of you! 2 hours ago ·

    • [​IMG] Ismail Jussa Some people like to compare Maalim Seif with Mandela of South Africa. But they don't realise that Maalim is more than Mandela. Mandela sacrificed but got political power at the end. Maalim sacrificed political power for the sake of greater good of his people! What a leader! 2 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Ismail Jussa I have no doubt that even as a First Vice President of Zanzibar, Maalim Seif will continue to shine and inspire his people towards implementing his Manifesto and deliver changes that are so desperately needed in Zanzibar. Don't they say, rose by any other name smells sweet! 2 hours ago · LikeUnlike · 5 peopleLoading...

    • [​IMG] Abdulrahim Ayoub Mashalah! I m proud of him aswel.. May Almighty Allah (swt) bless him from his enemies.. 2 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Talib Baalawy You wrote this from your heart.. what you said is pure true and honest! Zanzibar need you Jussa.. May Allah help you on every step you take in this five years..May Allah bless Zanzibar and give strength to The Genious Maalim Seif.. he is unforgatable in our minds and prayers... Inshaallah his dream will come true... 2 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Abbas M.K Abbas Well said.... It's totally true....!!! 2 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Abdulrahim Ayoub The SPIRIT of our DEATH will RESHAPE the future of ZANZIBAR and BRING HONOUR and RESPECT to every ZANZIBARI, WE HAVE TO FIGHT FOR OUR RIGHTS.... 2 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Abdulrahim, the spirit of our sacrifices, not our deaths, will reshape the future of our great nation, Zanzibar. Fighting (if you mean physical fighting) is not a solution! Honour and Respect to our motherland will come through truth, reconciliation and unity. It may be a difficult path but i will take us to our destination. I have no doubt about that. about an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

    • [​IMG] Mbarouk Shariff I concur with you Jussa a 100%. Maalim Seif didn't lose, but through his wisdom and prudence Zanzibar and Zanzibaris emerged as the winners. Let's support the GNU for the good of our country. God bless Zanzibar! about an hour ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Abdulrahim Ayoub Yeah, sacrifice...

     No! Not physical fight... V can fight without bloodshed and still we stand on a victory. Inshallah Zanzibar will change in the cumin five yearz... And congratulation in advance... about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Thank you Abdulrahim for clarifying. Now I agree with you entirely. And with Maalim Seif being part of the government, I don't have a shadow of doubt that things will change for the better! about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Abdulrahim Ayoub Inshalah! Mr. Jussa we are together, and we are looking forward to see you together with Maalim Seif lead us to our destination.. about an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

    • [​IMG] Ismail Jussa Mbarouk, once again thank you my brother for your unwavering support and committment to the GNU. Tuko pamoja. about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Talib Baalawy Maalim Seif said we wont be able to do most of the thing without serekali 3. Jee are we going to put this on the table as our main sera infront of president, au we are going to wait tuipeleke kwenye baraza la wakilishi...? about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Mbarouk Shariff I believe Unity and reconciliation is the only way forward for Zanzibar. about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Talib, some of the things are better left to the new Cabinet about to be formed soon. You don't discuss everything on facebook! about an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

    • [​IMG] Talib Baalawy Inshaallah kheir.. May Allah easy everything for our Great Nation of Zanzibar and shower our Zanzibar with Peace,Love and Hamony,May Allah sail ourship through wind and storm and make Zanzibar be a mirror of Africa..Ameen about an hour ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Hajji Khamis Muheshimiwa Jussa thanks for your wisdom and the courage of speaking the truth.Congratulations to Maallim for making the right decisions for the benefit of Zanzibari's.Our prayers is to you all and let's together focus on the future of new Zanzibar. about an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

    • [​IMG] Hamis Mbarouk MAALIM SEIF IS A MIRROR,not only for zanzibar but for the whole Africa,he is every thing for us as zanzibarians,we beleave on him,we love him and we pray for him every time so as allah will make him more strong.Mh jussa also we support you,you are the one who we need also in zanzibar,INSHAALLAH we will follow your steps like how you follow maalim`s one.SO TOGETHER WE FOLLOW MAALIM`S WAY....ZANZIBARIANS WE PROUD OF YOU AND MAALIM SEIF. 48 minutes ago · LikeUnlike

    • [​IMG] 'Van Maha Uchawini u r da best...God is wit u 44 minutes ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Hamid Jamal Jussa - Mualim always sees the bigger picture and Zanzibar is blessed to have a leader like that- selfless, honest farsighted. May Allah keep your hearts pure always and guide Mualim to carry on making the wise decisions he has always made. 32 minutes ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Shy-Rose Bhanji-Mwanaharakati for some odd reason i always had great admiration for maalim seif even when i ddnt know him (i just used to hear stories about him) and had never seen him face to face...but when i had an opportunity to see him even by far, my admiration for him igrew even more..he has been my role model and trully, i dont regret that. I will always look up to him coz he has tought me a great lesson! i wish him long life, good health and all the best! 16 minutes ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Godfrey Nyamrunda ‎@Ismail.. its time for maalim seif to write a book b'se I believe his political story is more than a three years masters course. please tunamuomba atuandikie kitabu, ni muhimu sana for the next generation na pia I knwo he's a fantastic insipirational speaker. so, a book will be a nice idea. All the best jussa 8 minutes ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

    • [​IMG] Shy-Rose Bhanji-Mwanaharakati great idea nyamrunda..i would buy that book even for 500,000/- and i am serious! 3 minutes ago · LikeUnlike

  • Ndugu wana JF hii inaonesha kuwa CCM hawawezi toka madarakani on ballot paper hata siku moja kama maalim Seif kafikia hatua ya kusalim amri na kuendelea kuwa chini yao then tuna kazi kubwa sana bara.

   
 2. K

  Keil JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimeshangaa kusoma hayo maandishi ya Jussa. Yaani anategemea Maalim Seif atekeleze Ilani ya CUF akiwa kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar? Hiyo ni ndoto ya mchana haswa. Wao [CUF] wasubiri kugawiwa wizara ambazo hazina nguvu na Makamu wa Rais hatakuwa na say yoyote kwenye implementation ya Ilani ya Uchaguzi.

  Zimbabwe mpaka leo bado wanaburuzana na hata Kenya nao walikuwa wanaburuzana, wamefanikiwa kurekebisha mambo baada ya kupitisha Katiba Mpya ambayo angalau sasa Odinga anaweza kukohoa na akasikilizwa.

  Kauli ya Mkapa ni muhimu sana, kwamba serikali ya mseto NDIYO, lakini lazima iongozwe na CCM. Kauli hiyo ina msg kubwa sana nyuma yake na inawezekana CCM walikubali muafaka ili kutuliza mambo na wanapima upepo, after 5 yrs watakuja na mapendekezo mengine.

  Kwa kifupi sioni dalili za CCM kuachia madaraka kwa ridhaa ya wananchi [kura]. Ngoja tusubiri hii miaka 5 tuone mambo yatakuwaje.
   
 3. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Keil unaongea kweli tupu
   
 4. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Majibu ya Zanzibar yalikuwa wazi,kila mtu alijua kuwa CUF wameshinda,Kitendo cha Marais wastaafu Mkapa na Mzee Mwinyi kwenda Zanzibar usiku wa kuamkia kutangazwa kwa matokeo ndio ulizaa maafikiano haya ya kukubali matokeo.Nimeshtushwa mno na kauli ya Ismail aliyoitoa katika Ukurasa wake wa Facebook,nina wasiwasi mambo sio shwari huko...maana inajulikana wazi kuwa Jussa ni mmoja kati ya Mawaziri watakaotoka CUF,Kwa kuwa ni mshauri Mkuu wa Seif,ina maana aliujua mpango wote wa kuchakachua matokeo na kuipa Ushindi CUF.Sasa leo napata taabu kuona kwamba amekuja kutamka wazi hadharani kunyimwa kwao ushindi.Jussa ambaye sasa ni Mbunge mteule wa Mji Mkongwe,aliingia Bungeni (JMT) Mwaka Juzi kwa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete,nae ndio amekuwa mmoja wa wawaandishi na wahubiri wakuu wa refferundum iliyopelekea kuundwa kwa serikali ya Mseto zanzibar.
  Bado kuna kitendawili kikubwa ndani ya siasa za Zanzibar,lakini Jussa anasema ni bora wapambane na CCM kutokea ndani,kuliko kuwa nje ya serikali kwani nguvu yao inathibitiwa sawasawa.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Chama kilichoshinda ni ccm. Ilani itakayotekelezwa ni ya ccm, full stop.
   
 6. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,809
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  No Chama kilichoshinda ni CUF. Ilani itakayo tekelezwa ni ya CCM!
   
 7. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu kwenye kupima upepo upo sahihi kabisa.
  JK kwa kauli yake alisema hyo agreement ni ya miaka mi5 siyo ya kudumu, baada ya hapo wataangalia nini kitafuta.
  Hawa ccm bila shaka miaka hii mi5 wataitumia kupunguza nguvu ya cuf na 2015 wakaja na stori tofauti
   
 8. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika mazingira kama haya ya CUF kushinda halafu wanakubali "matakwa" na si matokeo mtu akiacha kupiga kura atakuwa anakosea? Naomba wakuu mnisaidie katika hili.
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mi nampongeza sana maalim kwa busara zake. kama asingekubali sasa hivi tungekuwa tunaongea story nyingine hapa jf, tena sisi sisi ndo tungekuwa tunalaumu kwamba viongozi kwa uchu wa madaraka wanasababisha damu za watu zimwagike. na ni ukweli usiopingika kwamba damu ingemwagika baada tu ya maalim kuyakataa matokeo, so amepima na kuamua kwa busara sana na ni viongozi wachache sana wangeweza kuamua hivi, nadhani mliona yaliyotokea kenya.
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  safi sana...uhuru wa kuongea!
   
 11. Ngolinda

  Ngolinda Senior Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu Carmel, ila kuna kitu kimoja huwa najiuliza: Hivi ni viongozi wa upinzani tu ndo wanaotakiwa kujitolea kudumisha amani yetu?.
  Yaani CCM wao wadhulumu, halafu CUF wao washinikizwe kukubali kudhulumiwa kwa sharti la kudumisha amani! Hii mbona hainikai akilini vizuri?.....Kwa mtindo huu wa kuwapongeza viongozi wanaokubali maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura yapindishwe eti kwa hoja ya amani, demokrasia ya Tanzania itaendelea kuwa changa daima. Na amani yetu pia haiko salama.

  Kipekee nampongeza Dr. Slaa kwa kukataa unafiki, na kujali matakwa ya wananchi wanaozulumiwa. Ilimradi kutokubaliana na matokeo na kudai haki hakufanywi kwa shari...ni vema kiongozi kuwa mkweli na jasiri. Maalim hakujichagua mwenyewe, alichaguliwa na wananchi, hinyo alipaswa kusimamia maamuzi ya waliomchagua na si matakwa ya CCM.
   
 12. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngolinda safi sana
   
 13. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ngolinda umenena. kwa stail ile kulikuwa hakuna sababu ya kupiga kura. wangekaa mezani wakapeana haki za wananchi wao. walafi wakubwa hao
   
 14. m

  msasa Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo yote kwa zanzibar yalifanyika, kumbuka uchaguzi wa '95, walipokataa nini kilitokea, 2000 ndo vile tena mauaji ya historia na ccm ikaendelea kubaki madarakani, 2005 unajua kilichotokea unafikiri hata wangekataa 2010 kingetokea nini?
   
 15. T

  Tata JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,733
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Tanzania tuna mfumo wa mshindi kuchukua yote. Hivyo chama ambacho mgombea wake apeapishwa kuwa rais wa Zanzibar (CCM) ndio walioshinda na ilani itakayotekelezwa na CCM and CUF kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ni ya CCM likiwemo suala la uwepo wa muungano wa serikali mbili.
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,733
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Wangemtangaza Dr. Shein kuwa rais wa Zanzibar na kumwaga askari polisi na wanajeshi tayari kulinda amani, utulivu na mshikamano wetu ulioasisiwa na waasisi wa muungano.
   
 17. e

  ejogo JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Seif couldn't beat ccm that's why he decided to join them.
   
 18. m

  mozze Senior Member

  #18
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena jambo na kutoa swali zuri sana! Mimi mwenyewe nimekuw anajiuliza wale watu wanao force wapinzani wakubali matokeo kwa kisingizio cha kutunza amani. Haiingii akili kabisa eti mtu akubali kuibiwa. Sasa kwa nini watu wanaingia gharama na kupoteza muda kwa kampeni? si basi kungekuwa na makubaliano tu? Je kama kweli Seif kakubali kuibiwa tunawezaje kumuita shujaa wakati amekubali kuwasaliti wafuasi wake waliojitolea muda wao mwingi kumpa support na kumpigia kura? Je huyu atakuwaje mtetezi wa watu wakati walioiba kura wanaendelea kuwanyonya wananchi, wananchi wanakosa huduma muhimu na mambo kama hayo?
  Huu ni usanii, na ulafi wa madaraka ndio kinawafanya watu waje na propaganda hizi, ukweli CUF hawakushinda na walijua hawawezi kushinda, hapa wanajaribu tu kuweka kama vile wao ni chama kikuu. Chadema wameonyesha ukomavu zaidi na ni more popula kuliko wao, ambao Bara hawakubaliki. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUKUBALI KUIBIWA KWA SABABU YEYOTE ILE!
   
 19. C

  Calipso JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahaha Sijui unaongea na watoto ambao bado wananyonya.. lkn jifurahishe nafsi yako,usijitupe.. mtu hajitupi bana au vipi?
   
 20. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Moza(mozze) ni kweli kua hakuna ukubalie kuibiwa. Halafu umesema chadema ni chama kikuu cha upinzani mimi nakuuliza chadema ina wabunge wangapi wa kuchaguliwa na cuf je ina wangapi?
   
Loading...