Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

We unaambiwa tayari kuna makundi ya wanaCCM kutoka Bara wanajiandaa kwenda
kupiga kura huko!
 
wakishindwa je? na wao wakatae ili urudiwe tena?? hivi mnaosema uchaguzi urudiwe mna maisha mazuri kiasi gani?? hizo pesa kwa sasa zinatoka wapi?? kama ni deni unafikiri nani atalipa?? hivi ushawahi kujenga nyumba yako afu ukaona mapungufu mtu akakwambia bomoa rudia utamsikiliza huyo mtu?? pamoja na ukweli kuwa nyumba inaweza kuwa hatari kwa usalama wako ni wachache wanaoweza kukubali kufanya maamuzi magumu. na wale ambao watasema acha maisha yaende kifo kikitukuta poa tu. sio kwamba hawapendi au hawaelewi athari za tatizo. bali hawana jibu kama watabomoa hiyo mbaya ni lini watakamilisha hizo bora?? kama mbovu ziliwachukua miaka 3-5 kukamilika hizo bora si itakuwa miaka 10 na wao ni wazee hawana nguvu?? wakitafakari jasho lililowatoka afu kirahisi tu uwaambie bomoa?? ni bora ccm iendelee kutawala hadi yenyewe itakapochoka kuliko kuwafanyia wananchi maigizo ya kuwapotezea muda na fedha zao tu. hamna haja ya uchaguzi acha waendelee tu.
 
Jamani haya maCCM yana mbinu,ila wazanzibar wapenda mabadiliko pambaneni 2po pamoja nanyi.
 
Yani mtu unaongea kirahisi tu!!! muwe mnatafakari. wake kwa waume zaidi ya laki 4. waliacha miji yao, wakaacha shughuli zao za kipato. ambao walipaswa kupumzika waka ahirisha mapumziko yao. wakajichafua vidole vyao. jua la kwenye foleni lilikuwa lao. afu simply makosa ya watu wasiozidi hata 100. yanahalalalisha ya kwamba watu zaidi ya laki 4 hawakuzalisha,walifanya zoezi ambalo halikuwa na tija bali limeleta hasara kwao sababu waliacha shughuli zao na hasara ya pili ni kwa taifa zima kwamba karatasi,mawakala,waangalizi walilipwa pesa kwa kufanya zoezi ambalo halikuwa na tija kwa taifa. unapoandika kitu tafakari sana sio kila assumption unayoambiwa au inayokuja kichwani mwako inastahili kutolewa hadharani. mpumbavu akinyamaza uhesabika kama mwenye hekima "A silent fool is counted as a wise one"
 
Nimeota kama kuna ka nchi katikati ya bahari kamefutwa.
kamebaki kama kamkoa kamojawapo tu.

Kanasubiri kuchagua mkuu wa mkoa gtu hakuna namna nyingine.

TUNAJUA kuna Baadhi ya watanganyika wanatamaa za fisi mkono utakatika
WAPIII WAZNZ hata tukigombana si kwenye UTAIFA wa ZNZ,
SI WABARA mna NGUVU na wafanye km kujaribu tu WATAONA ZENJ kupitia tv za satellite,
 
Back
Top Bottom