Maalim Seif, Hamad Rashid uso kwa uso leo

Kama taratibu hatuzijui tu we tunauliza,
Kikatiba CUF ina vikao vinne. 1. Kamati ya ulinzi na usalama 2. Kamati ya utendaji ya taifa 3. Baraza kuu la uongozi la taifa na 4. Mkutano mkuu wa taifa.

Katika vikao hivi vinne vya kikatiba, mwenyekiti taifa anaongoza vikao vitatu, anaongoza kamati ya ulinzi na usalama kama mwenyekiti wa kamati, anaongoza baraza kuu la uongozi taifa kama mwenyekiti wa baraza hilo na anaongoza mkutano mkuu wa taifa kama mwenyekiti wa kikao hicho.

Katibu mkuu wa CUF anaongoza kamati ya utendaji ya taifa tu. Hii ni kwa sababu taasisi nyingi duniani na zinazofanya kazi kwa uwajibikaji na haki siyo rahisi kukuta wenyeviti wanaongoza vikao vya utendaji au wao ni wajumbe wa vikao hivyo na hili liko wazi.

Haiwezekani lipumba awe mwenyekiti wa kamati ya utendaji ya taifa au awe mjumbe wa kamati hiyo.
Hii ni kwa sababu kwa mamlaka yake kama kiongozi mkuu wa chama hawezi kuwa mtendaji mkuu wa chama.

Advantage tuliyonayo ni kwamba mwenyekiti wetu taifa anabakia akifuatilia masuala yote muhimu ya utendaji na akihoji na kuturudisha kwenye mstari. Na hata tunapokuwa katika vikao vya baraza kuu yeye huongoza wajumbe wa baraza huu kupata ufafanuzi wa mambo muhimu kutoka kwa kamati ya utendaji ya taifa.

Hii ina maana kuwa mwenyekiti wa chama yuko juu ya mambo ya utendaji ya chama, yeye ana-monitor, ana-advise , ana-recheck and re-correct mienendo ya kamati ya utendaji wa taifa.

Hatari ya kuwa na mqenyekiti anayeongoza utendaji katika chama ni kuwa jambo lolote dogo likiharibika, anahusishwa moja kwa moja na hiyo ni hatari kwa taasisi.

Leo pana shutuma kadhaa zimetolewa na baadhi ya viongozi wenzrtu kuwa fedha za chama zimeliwa, au helikopta ilikodiwa kwa bei ya juu n.k.(tuhuma hizi ni za kupikwa tu na hazina uthibitiaho wowote kama nilivyowahi kuthibitisha hapa).

Katika mazingira ya namna hiyo mwenyekiti taifa anapokuwa mtendaji angehusishwa na kila tuhuma ndogo katika chama, jambo amablo siyo sahihi hata kidogo.

Binafsi nadhania utaratibu wetu ni muhimu sana na muhimu ukaendelea.

vipi kuhusu zile barua pepe zenye maelekezo ya jinsi ya ku deal na suala la mpiganaji Hamad Rashid toka kwa maalim Seif kwenda kwa profesa ambaye sio mjumbe wa hicho kikao,nazungumzia barua pepe ambazo mpiganaji Hamad Rashid anadai kuzinyaka kabla ya kikao.what is your reaction kamanda?
 
mimi nasema huyu hamad hatufai...sawasawa?, lengo lake ni kuvuruga chama chetu..sawasawa?, yeye atakuwa mfano kwa watu wenye tabia kama zake..sawasawa?, kama ya maadili aliidharau sasa namwadhibu mimi...sawa? na akitaka aende mahakamani tutamkuta..sawasawa?, na barua tushampa sawasawa?, sawa. Mia

...............Sawa sawa? (Kumbe Maalim uko humu?)
 
Nakuhakikishieni sana hamad hafukuziki ndio mwanachama namba tatu sawamnajua hivyo
Mkuu jenga hoja,kuwa mwanachama namba tatu si kigezo cha kutokufukuzwa uanachama!walisema maneno hayahaya kwa Kafulila,lakini matokeo yake tumeyaona wenyewe!
 
Masikini ndoa ya ccm inawatesa, jinamizi la ccm hilo, kwanini msitumie invisible kama wafanyavyo magamba? Hutaki muulize mwakyembe.
 
Mtatiro asante kwa ufafanuzi,unapopata wasaa uwe unakuja hapa kutembelea
 
Masikini ndoa ya ccm inawatesa, jinamizi la ccm hilo, kwanini msitumie invisible kama wafanyavyo magamba? Hutaki muulize mwakyembe.
oi Wasije Kumkandamiza Kizenji Sio Mwakyembe tu Hata Ile ya Kum Chacha Wangwe
 
Hili nalo halijakaa kiusahihi,

Maalim seif hana maamuzi juu ya hamad rashid, vikao vya chama ndivyo vina maamuzi juu yake.

Hamad rashid na wenzie walihojiwa na kamati ya nidhamu na maadili(kamati hii ipo kikatiba na inafanya kazi kama kamati ndogo chini ya kamati ya ulinzi na usalama ya chama), baada ya hapo kamati ya ulinzi na usalama italeta taarifa yake katika kamati ya utendaji ya taifa.

Kamati ya utendaji ya taifa itapokea taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama, itaijadili na kuamua juu ya mapendekezo yaliyoletwa.
Baada ya kuamua KAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA itawasilisha taarifa hiyo kwenye kikao cha baraza kuu la uongozi la taifa.

Kikatiba, kamati ya utendaji ya taifa haina mamlaka ya kumpa adhabu kiongozi kama mbunge, mjumbe wa baraza n.k. Hii ina maana kuwa sisi wajumbe wa kamati ya utendaji ya taifa hatuna mamlaka ya kutoa adhabu yoyote kwa HR na wenzie.

Baraza kuu litakapoketi ndio litaamua nini cha kufanya. Kwa mujibu wa katiba, baraza kuu linaweza kumpa onyo la maandishi kiongozi, karipio kali la maandishi, kumsimamisha, kumvua uongozi au kumfukuza uanachama(mamlaka haya yapo kamati ya utendaji taifa).

Jana tumemaliza kikao late night na leo tunaendelea siku ya pili na tunatarajia kupokea taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ambayo inaweza kuhusisha pia masuala ya HR.

In general kikao hiki cha kamati ya utendaji ya taifa siyo cha dharura, ni kikao cha kawaida cha kikatiba kinachokaa kila baada ya miezi miwili. Kikao cha mwisho kilifanyika mwezi oktoba mwishoni na kingine desemba mwishoni.

Vikao vya baraza kuu hukaa kila baada ya miezi minne kutathmini mwenendo wa chama na kukielekeza chama namna ya kujiendesha.

Vikao vya mkutano mkuu hukutana mara moja katika kila miaka mitano.

Nawajuza haya ili kupata weledi zaidi wa masuala yetu ya kivikao na ki-katiba.

Huu upuuzi tu, hizo ni garbage tupu sijui vikao vya maadili. Watu wanapohoji uadilifu ama kutaka uongozi ndo mnawaitia upuuzi wa vikao vya maadili.
 
Mkuu (sijui na mimi nitumie Maalim kama Jamaa mmoja hapo juu?) Julius Mtatiro safi sana kwa ufafanuzi huu mujarabu. Viongozi kama ninyi ndio mnatakiwa katika wakati huu wa .com. Unatoa taarifa muafaka kwa wakati muafaka. Hongera.

Ila sasa inaonekana Kamati ya Utendaji ina nguvu nyiiiingi na inaongozwa na Katibu Mkuu. Kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana kam Mwenyekiti ni mshauri tu katika masuala ya utendaji kichama? Hii haina maana kwamba Katibu Mkuu ana nguvu zaidi kuliko Mwenyekiti?

Mbona naanza kuhisi kuwa hiyo katiba iliandaliwa kwa kuangalia nani ni Katibu! Ukiacha baadhi ya vyama vya Kikomunisti vyama vingine vya siasa duniani huwa Mwenyekiti ndiye Mkuu wa Chama lakini hapo CUF inakuwa kama kinyume!

Kumbe ndio maana Maalim yeye na Ukatibu tu hataki uenyekiti kwa kuwa mwenyekiti hana meno!!

Pia hili suala la kofia mbili yaani moja ni Katibu Mtendaji wa chama na nyingine Makamo wa Rais hamuoni kama linaleta shida kwa kuwa kuna matamko anatoa tunashindwa kuelewa kama ni matamko ya Chama ama ya SUK?

Ahsante.
 
Ndio tatizo la vyama vya upinzani Tanzania..wanataka wanachama utopians wanafuata bila kuuliza na kuhoji; ukijaribu wanakufukuza..ni vigumu sana kuwa na taasisi kwa mtindo huu..

Ok sisi tunawasubiri 2015 kuwaliza vizuri kwenye uchaguzi safari hii lazima tuchukue jimbo pemba
Chama CCM bwana! angalia wezi walivyorundikana. Kuanzia Meremeta, Deepgreen, Kagoda, EPA,Ricmond, Rada, Dowans na sasa akina Jairo. KIMYA. Nasikia jana Luhanjo kastaafu kama ilivyokuwa kwa Lowasa. Hakuna kushughulikiana kule. kwanza nani wa kumshughulikia mwenzake, maana wao wenyewe wanaogopana kwa kuwa wote wanaishi kwa madili machafu. Ndio maana watuhumiwa wote wanaishi kwa jeuri na kiburi, kwa sababu wanajua magereza zimejengwa kwa ajili ya watanzania masikini wanaoiba simu na kuku. lakini wa mabilioni, Raisi anasema wana haki zao hivyo hatuwezi kuwashitaki.
 
CUF ni Maalim Seif, ndiye mwenye madaraka yote, haya mengine ni porojo tu. Viongozi wote wanaokwenda kinyume naye huondolewa, Mwenyekiti CUF ni boya tu, ndio maana Prof Lipumba yupo yupo tu, pamoja na usomi wake kakubali kuwa kibarua wa Seif.

Anatumia usemi wa "mzigo mzito mtwishe Mnyamwezi," alianza Mapalala, akaja Magenyi na sasa Lipumba!!!!!
 
kama hamuelewi hiyo ni mbinu ya kuwafanya wajitangaze zaidi kwa umma...wanataka wapate coverage kubwa kwenye media ili watu wazidi kuifahamu na kufatilia habari za CUF. kwa hiyo hapo hakuna kufukuzana wala nini...just popularity strategy!
hafukuzwi wanatishia nyau,
 
Hili nalo halijakaa kiusahihi,

Maalim seif hana maamuzi juu ya hamad rashid, vikao vya chama ndivyo vina maamuzi juu yake.

Hamad rashid na wenzie walihojiwa na kamati ya nidhamu na maadili(kamati hii ipo kikatiba na inafanya kazi kama kamati ndogo chini ya kamati ya ulinzi na usalama ya chama), baada ya hapo kamati ya ulinzi na usalama italeta taarifa yake katika kamati ya utendaji ya taifa.

Kamati ya utendaji ya taifa itapokea taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama, itaijadili na kuamua juu ya mapendekezo yaliyoletwa.
Baada ya kuamua KAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA itawasilisha taarifa hiyo kwenye kikao cha baraza kuu la uongozi la taifa.

Kikatiba, kamati ya utendaji ya taifa haina mamlaka ya kumpa adhabu kiongozi kama mbunge, mjumbe wa baraza n.k. Hii ina maana kuwa sisi wajumbe wa kamati ya utendaji ya taifa hatuna mamlaka ya kutoa adhabu yoyote kwa HR na wenzie.

Baraza kuu litakapoketi ndio litaamua nini cha kufanya. Kwa mujibu wa katiba, baraza kuu linaweza kumpa onyo la maandishi kiongozi, karipio kali la maandishi, kumsimamisha, kumvua uongozi au kumfukuza uanachama(mamlaka haya yapo kamati ya utendaji taifa).

Jana tumemaliza kikao late night na leo tunaendelea siku ya pili na tunatarajia kupokea taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ambayo inaweza kuhusisha pia masuala ya HR.

In general kikao hiki cha kamati ya utendaji ya taifa siyo cha dharura, ni kikao cha kawaida cha kikatiba kinachokaa kila baada ya miezi miwili. Kikao cha mwisho kilifanyika mwezi oktoba mwishoni na kingine desemba mwishoni.

Vikao vya baraza kuu hukaa kila baada ya miezi minne kutathmini mwenendo wa chama na kukielekeza chama namna ya kujiendesha.

Vikao vya mkutano mkuu hukutana mara moja katika kila miaka mitano.

Nawajuza haya ili kupata weledi zaidi wa masuala yetu ya kivikao na ki-katiba.
Kwa hiyo kulingana na maelezo yako hukutuambia kikao cha mwisho cha baraza kuu la viongozi lilifanyika lini na litafanyika lini tena ili kupokea taarifa ya kikao cha baraza la utendajii...

Maswali machache tu, Kwanza, kwa nini Rashid Hamad ndiye kawekwa kizimbani wakati Principal case ilikuwa ya Maalim Seif?..kwa nini kwanza asisikilizwe Rashid Hamad uchunguzi ufanyike kutazama madai yake na kama itaonekana sii kweli ndipo counter claim hii ya Seif itakapo sikilizwa baada ya kubaini tuhuma za Rashid hazina ukweli.

Pili,
Kwa nini mshtaka Maalim Seif anahusishwa na vikao vinavyohusiana na maamuzi ya Rashid akiwa yeye ndiye mshtaka? Kwa nini inapofikia swala hili asiwe nje ya vikao ila wajumbe wengine wapate kulitazama bila upendeleo..ashiriki tu kama atatakiwa kutoa ufafanuzi juu ya hoja kwa haki sawa na mtuhumiwa?..vivyo hivyo iwe kwa Rashid na watuhumiwa wengine wote.

Tatu,
Kuhusu swala la mwenyekiti kutokuwa mwenyekiti wa kikao cha Utendaji, mkuu wangu ndio maana wenzetu huwa na Rais wa chama ambaye huwa na mamlaka tofauti kabisa na chama na hivyo kutoshiriki uenyekiti ktk ngazi kama hii lakini maadam sisi mwenyekiti ndiye mgombea uraia hiii inampa mamlaka ya kichama kuwa mwenyekiti wa baraza hilo vile vile..Kama mnataka kuwa wawazi Mgombea Urais ndiye awe rais wa chama na mwenyekiti wa vikao vya utendaji (Ilani ya chama). Halafu mwenyekiti wa chama ndiye atakayesimamia vikao vingine vyote vya chama kama ulivyoeleza...Ni mapendekkezo yangu kwenu...

Nne,
Chama cha CUF kuunda muafaka na CCM ni makosa makubwa na hamkuwatendea haki wanachama wenu na hasa wenye asili ya bara ambao kama ingelikuwa hiari yao wangependa kuona ushirikiano na chama na Chadema zaidi ya maamuzi yaliyochukuliwa. Siasa zilizotumika kuharibu mahusiano hayo ndizo zilizopelekea kukiuwa chama bara ingawa hamkufahamu kwamba wananchi nao wana akili zao..Na Maalim SEif amechangia kwa kiasi kikubwa sana kukivuruga chama bara..amini maneno yangu maana niliyasema haya toka mwaka 2001..
Ikumbukwe tu hoja hii ya kuunda Muafaka imetokana sio na kero za Muungano bali kutekeleza matakwa ya wachache ambao wanataka Muungano baina ya nchi hizi mbili uvunjwe wakidai Zanzibar huru ya mwaka 1963 ya Sultan.

Kumbuka tu ya kwamba sii wanachama wote wa CUF wanaafiki kuvunjika kwa muungano kwa maslahi ya kundi fulani la watu ambao wamekitumia chama kulaani hadi Mapinduzi ya Zanzibar..Nadhani unawajua watu hawa na sina sababu ya kueleza mengi..
 
Na wewe ukitaka kuvuliwa uanachama CHADEMA ama kuitiwa vikao vya maadili ama kamati kuu, wewe tangaza nia ya kugombea uenyekiti taifa na uwe na sapoti ya kutosha.
 
Ndio tatizo la vyama vya upinzani Tanzania..wanataka wanachama utopians wanafuata bila kuuliza na kuhoji; ukijaribu wanakufukuza..ni vigumu sana kuwa na taasisi kwa mtindo huu..

Ok sisi tunawasubiri 2015 kuwaliza vizuri kwenye uchaguzi safari hii lazima tuchukue jimbo pemba
Mkuu umesema kweli maana Tanzania ni vyama vyoooote, si vya upinzani tu bali na hata CCM na CUF wote mtindo mmoja, labda tusubiri hicho chenu.
 
Na wewe ukitaka kuvuliwa uanachama CHADEMA ama kuitiwa vikao vya maadili ama kamati kuu, wewe tangaza nia ya kugombea uenyekiti taifa na uwe na sapoti ya kutosha.
Hapana mkuu wangu Profesa hana sababu ya kugombea wenyekiti.. nawapa darasa tu la siasa unajua tena - Kigamboni shule kubwa wanaihitaji wote sichagui mhindi, msukuma wala mkerewe..
 
Huu upuuzi tu, hizo ni garbage tupu sijui vikao vya maadili. Watu wanapohoji uadilifu ama kutaka uongozi ndo mnawaitia upuuzi wa vikao vya maadili.
Si angalau hawa wanaitisha vikao kuna mwana CCM anayeweza kuhoji utendaji wa mwenyekiti au katibu mkuu, thubutu.
 
Nimemuona Ahmad Rashid akitoka ktk ofisi za CUF Buguruni sasa hivi hivyo inawezekana kikao kilikuwa hapa Dar na sio Zanzibar.
 
Back
Top Bottom