Maalim Seif, Hamad Rashid uso kwa uso leo

Maalim Seif, Hamad Rashid uso kwa uso leo

Mdogo wangu Mtatiro, kinachoongelewa na watu hapa ni kitu kinachoitwa 'good governance principles' na 'conflict of interest'. Hata ueleze na kufafanua vipi bado haileti picha nzuri kwa MTUHUMIWA (Seif Shariff) kukalia kiti cha mwenyekiti wakati wa kujadili suala la nidhamu linalomhusu MTUHUMU (Hamad Rashid). Hakuna haki hapo hata iweje.
Nadhani wafuasi wa CHADEMA mmeamua kupindisha ukweli makusud! Hamadi Rashidi ndiye mtuhumiwa na wenzake kwa kuvunja katiba na kukivuruga chama, ndio maana akawa-charged na ile kamati ya maadili na baadaye kamati tendaji. Kama HR angewasilisha madai yake dhidi ya Seif kama anayo kwenye vikao halali, kamwe Seif asingeongoza vikao vya kumjadili mwenyewe! Inaonekana munamtetea running mate wa LOWASA kwa ticket ya CHADEMA 2015!
 
Ha ha ha CUF ni Seif na Seif ni CUF hukumu ya HR ilishatolewa siku Mingi sana

Kwenye email between Seif na Lipumba!!
Hap kwa sasa ni kama tunaangalia game ambayo ni marudio!!
 
Aloshutumiwa kukiangusha chama ndiye mwenyekiti wa kikao cha maamuzi ya HR... Jamani hivi kweli wewe Mtatiro huoni hata aibu kuja hapa kujaribu kukisafisha chama wakati mnayafanya madudu waziwazi..ndio maana HR alisema hana imani na kikao hicho halafu kweli mtamwajibisha hata kwa kusema ukweli?.

Kaka,
Hizi style za mtuhumiwa kua hakimu hujaziona hata pale NCCR?
Happy New Year!!
 
Haya yote ni sababu ya Serikali za Mseto. Kutakuwaje na upinzani ndani ya mseto?
 
Back
Top Bottom