Maalim seif amepewa ela na ccm aropoke,kwan ni kweli kuwa tume ya katiba imeenda zanzibar?? Maalm seif amezeeka na anasubir kufa.
Pili,kwan nan kawaambia cuf watoke nje ya bunge siku ile,mbona wao ndo walikuwa wa kwanza kutoka chadema,cuf na nccr wakafata?
Tatu, kwan maalim seif yeye alisubiri nn kutoa tamko mpaka iposikia kuwa cuf,nccr na cdm wanakubaliana kugomea muswada? Mbona walipotoka nje hakupinga?
Nne,inaelekea cuf ni taasis ya kiislam na si chama cha siasa chenye utaaratibu wa kutoa matamko kwa kuwa,mnyekit wake taifa ameunga mkono,katibu wake amepinga,tena anachopinga et ni kuungana,na si kutoka nje ya vikao vya bunge...
Nne,kauli ya kusema kuwa hawataki kuungana na chadema,si sahihi kwa kuwa si chadema tu ndo waliotoka nje,mbona hawaikan nccr mageuz? Na kitendo cha kuwaita vyama vingine vya kikafri maana ake cuf wao ni waislam na wako kwa ajili ya waislam tu wa nchi hii? Ina maana kuwa,chadema wamekosea kuwa ccm na cuf wanawatetea waislam pekee na kuwaacha wakristo na wasio na dini?
Tano,katiba ni ya nan? Ya maalim seif au kikwete,ya cdm au nccr? Kama wanzanzibar wameshirikishwa kweny rasim ya katiba basi cuf wawaunge ccm mkono na si nccr au cdm,na kuwa kama hawajashirikishwa pia wajitoe pia wawaunge mkono ccm kwa kuwa wanaowatetea wazanzibar et ni makafir,ila waislam ccm na cuf wakisema ruksa... Achen ujinga wa udini utawafikisha pabaya sana..
Sita,nawashaur chadema na nccr kuachana na chama kinachowatukana kuwa wao ni makafri,na kuwa wao cdm na nccr wawatetee watanzania..maalim utabaki kuwa wa hovyo mpaka mwisho wako....
Pia kama wbunge wa cuf walipewa ela na cdm,basi pia cuf walipewa ela na ccm kuunda serikali ya umoja wa kitaifa...
Nawaomba cuf mjiondoe kwenye muungano wa cdm na nccr kwan cdm na nccr wataweza kuwatetea watanzania si lazima ninyi muwepo