Maalim Seif Azungumzia hali yake ya afya

Dnashon

Member
Feb 19, 2016
58
33
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.

Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.

Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.

Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
 
Pole sana kiongozi, InshaAllah mungu atakuwa afya. Na pia naomba InshaAllah hizo hazitakuwa siasa za kutafuta sympathy votes and support.
 
Muda huu mbn nmesikia habari mbaya kuusu yeye je ni kweli au
 
Hata mimi nilisikia habari mbaya kuhusu yeye ila kwa uzi huu ni wazi akina-Nkuruzinza wanafanya kazi yao!
 
Tunashukuru lakini Picha mbona hazipo wakati kwenye maelezo inaonekana umeambatanisha na picha
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.

Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.

Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.

Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
Maalim Seif ni shujaa .
 
upload_2016-3-8_19-17-28.jpeg
 
Back
Top Bottom