Maalim Seif Azungumzia hali yake ya afya

Maalim Seif Azungumzia hali yake ya afya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.

Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.

Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.

Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
Kumbe bado makamu wa kwanza wa rais!
 
Wewe mwanadamu unayewazungumzia vibaya binadamu wenzako, una uhakika gani wa kuishi sekunde chake zijazo?

Wakati mwingine yakupasa kuonja moyoni yale uyatamkayo mdomoni. Tofauti zetu kimitazamo zisije kutuingiza katika kufuru!

We are all subject to death!
 
Back
Top Bottom